GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,646
- 10,859
Wakristo vipi mnakichapa kiyahudi?Alikua amelewa huyo tangu lini kiarabu ikawa lugha rasmi Tanzania🙄 hata watoto wa mnyaazi mungu wengi wamekariri aya tuu kwenye kitabu chao lakini kuongea kawaida kama lugha hawawezi
Wakristo na kiyahudi wapi na wapi 🤔Wakristo vipi mnakichapa kiyahudi?
0ooh, Kitaliano sio!!!!Wakristo na kiyahudi wapi na wapi 🤔
Hata waroma wa Tanzania na sehemu zingine duniani tofauti na vatcan na Italia hawatumii kiitaliano sembuse wakristo0ooh, Kitaliano sio!!!!
MUNGU Hana lugha rasmiWakristo vipi mnakichapa kiyahudi?
Ni misinformation. Kwa nia gani ndio vigumu kujua.Nafahamu kuwa kuna baadhi ya Watanzania wanaoongea Kiarabu fasaha. Hata mama Samia inasemekana anakimanya vizuri tu. Lakini kama moja ya official language, sijawahi kusikia.
Mtandaoni kuna makala inayoitaja Tanzania kama moja ya nchi 25 ambazo Kiarabu ni official language. Nchi hizo ni Saudi Arabia, Chad, Algeria, Comoros, Eritrea, Djibouti, Egypt, Palestine, Lebanon, Iraq, Jordan, Kuwait, Mauritania, Morocco, Oman, Qatar, Somalia, Sudan, Syria, Tanzania, Bahrain, na Tunisia.
Makala tajwa yaliwekwa mtandaoni tarehe 22/06/2021, na Mwandishi wake ni Marwan Abdelaziz. Title: HOW MANY COUNTRIES SPEAK ARABIC AROUND THE WORLD?
Hayo ni kweli kuhusu Tanzania au mwandishi kaamua tu kutufagilia?
TUACHE NA KIZARAMU CHETU NA KINGEREZA CHA SHISHI FOODNafahamu kuwa kuna baadhi ya Watanzania wanaoongea Kiarabu fasaha. Hata mama Samia inasemekana anakimanya vizuri tu. Lakini kama moja ya official language, sijawahi kusikia.
Mtandaoni kuna makala inayoitaja Tanzania kama moja ya nchi 25 ambazo Kiarabu ni official language. Nchi hizo ni Saudi Arabia, Chad, Algeria, Comoros, Eritrea, Djibouti, Egypt, Palestine, Lebanon, Iraq, Jordan, Kuwait, Mauritania, Morocco, Oman, Qatar, Somalia, Sudan, Syria, Tanzania, Bahrain, na Tunisia.
Makala tajwa yaliwekwa mtandaoni tarehe 22/06/2021, na Mwandishi wake ni Marwan Abdelaziz. Title: HOW MANY COUNTRIES SPEAK ARABIC AROUND THE WORLD?
Hayo ni kweli kuhusu Tanzania au mwandishi kaamua tu kutufagilia?
Tanzania ya Abdul ni ya kiarabu na waarabuNafahamu kuwa kuna baadhi ya Watanzania wanaoongea Kiarabu fasaha. Hata mama Samia inasemekana anakimanya vizuri tu. Lakini kama moja ya official language, sijawahi kusikia.
Mtandaoni kuna makala inayoitaja Tanzania kama moja ya nchi 25 ambazo Kiarabu ni official language. Nchi hizo ni Saudi Arabia, Chad, Algeria, Comoros, Eritrea, Djibouti, Egypt, Palestine, Lebanon, Iraq, Jordan, Kuwait, Mauritania, Morocco, Oman, Qatar, Somalia, Sudan, Syria, Tanzania, Bahrain, na Tunisia.
Makala tajwa yaliwekwa mtandaoni tarehe 22/06/2021, na Mwandishi wake ni Marwan Abdelaziz. Title: HOW MANY COUNTRIES SPEAK ARABIC AROUND THE WORLD?
Hayo ni kweli kuhusu Tanzania au mwandishi kaamua tu kutufagilia?
Kujua ama kutumia Lugha ni dhahama?DP World hao, ndiyo wanatuketea dhahama hii.
Ni sahihi. Lugha ya Kiarabu ni moja ya Lugha rasmi hapa kwetu kwa sababu ipo katika mitaala rasmi ya nchi. Ni moja ya somo / Lugha ambayo hutumika mashuleni kwa wanafunzi ku-specialize kama mchepuo na kuwa na wataalam na wazungumzaji ndani ya nchi. So kiarabu, Kifaransa, Kichina, na Kiingereza ni Lugha za kigeni ambazo zipo rasmi na kutumika ktk mifumo rasmi ikiwemo mitaala ya nchi. Mfano mtu anaweza kwa sasa kusoma Arabic and English, or Arabic and French au Kichina. Kwa hiyo, si kiarabu tu pekee, hata kichina na Kifaransa nazo ni official kwa muktadha huo. Pia ukiondoa Kiswahili na Kiingereza kwa Lugha za kigeni Kiarabu ndio lugha inayofuata kwa idadi kubwa ya watumiaji juu ya Kichina na Kifaransa.Nafahamu kuwa kuna baadhi ya Watanzania wanaoongea Kiarabu fasaha. Hata mama Samia inasemekana anakimanya vizuri tu. Lakini kama moja ya official language, sijawahi kusikia.
Mtandaoni kuna makala inayoitaja Tanzania kama moja ya nchi 25 ambazo Kiarabu ni official language. Nchi hizo ni Saudi Arabia, Chad, Algeria, Comoros, Eritrea, Djibouti, Egypt, Palestine, Lebanon, Iraq, Jordan, Kuwait, Mauritania, Morocco, Oman, Qatar, Somalia, Sudan, Syria, Tanzania, Bahrain, na Tunisia.
Makala tajwa yaliwekwa mtandaoni tarehe 22/06/2021, na Mwandishi wake ni Marwan Abdelaziz. Title: HOW MANY COUNTRIES SPEAK ARABIC AROUND THE WORLD?
Hayo ni kweli kuhusu Tanzania au mwandishi kaamua tu kutufagilia?
Sultan wa Oman aliapa kutumia kila njia kurudi kututawala na sasa ameanza kikakatiNafahamu kuwa kuna baadhi ya Watanzania wanaoongea Kiarabu fasaha. Hata mama Samia inasemekana anakimanya vizuri tu. Lakini kama moja ya official language, sijawahi kusikia.
Mtandaoni kuna makala inayoitaja Tanzania kama moja ya nchi 25 ambazo Kiarabu ni official language. Nchi hizo ni Saudi Arabia, Chad, Algeria, Comoros, Eritrea, Djibouti, Egypt, Palestine, Lebanon, Iraq, Jordan, Kuwait, Mauritania, Morocco, Oman, Qatar, Somalia, Sudan, Syria, Tanzania, Bahrain, na Tunisia.
Makala tajwa yaliwekwa mtandaoni tarehe 22/06/2021, na Mwandishi wake ni Marwan Abdelaziz. Title: HOW MANY COUNTRIES SPEAK ARABIC AROUND THE WORLD?
Hayo ni kweli kuhusu Tanzania au mwandishi kaamua tu kutufagilia?
Hiyo ni tungo tata mkuu! Atarudi kumtawala nani? Watanganyika au Wazanzibar?Sultan wa Oman aliapa kutumia kila njia kurudi kututawala na sasa ameanza kikakati
Hapa kwenye haya maandishi yako mwenyewe kuna maneno ya kiarabu kama vile neno " kitabu" lugha ya kiswahili imetoholewa katika lugha ya kiarabu kwa karibi asilimia 50 , lugha nyingine zilizchangia ni kireno kihindi n.kAlikua amelewa huyo tangu lini kiarabu ikawa lugha rasmi Tanzania🙄 hata watoto wa mnyaazi mungu wengi wamekariri aya tuu kwenye kitabu chao lakini kuongea kawaida kama lugha hawawezi