Vipi kuhusus wale ambao hajaoa au kuolewa unawafikiriaje? Maana umelenga wenye ndoa tu. Suala la mahusiano katika halihisishi ngono sio kwa walioona tu ambao itakuwa rahisi kuwaapisha hivyo.
Pia sheria ipange mwanamke akionekana na mwanaume atiliwe shaka na waulizwe!.Katika kuifikia Tanzania isiyokuwa na ukimwi kama kampeni iliyozinduliwa na Mhe. Rais miaka michache iliyopita "Tanzania bila ukimwi inawezekana" ninapendekeza kiapo cha ndoa kiwe namna hii:- "Mimi X nakubali kumuoa/kuolewa na Y awe mke/mume wangu katika maisha yangu yote, katika shida na raha na naahidi kumpenda, kumlinda katika hali yoyote ile na naahidi mbele ya Mungu, kanisa/msikiti/serikali, waamini waliopo hapa, ndugu, jamaa na marafiki kutomsaliti mwenzangu kimwili kwa kushiriki zinaa na mtu mwingine, ee Mwenyezi Mungu nisaidie"
Hii ni mbinu mpya ya kisaikolojia ambayo inaweza kusaidia sana katika kupambana na janga hili la ukimwi, kwani njia pekee inayoeneza ukimwi kiurahisi ni ngono ikisaidiwa sana na ukosefu wa uaminifu katika mahusiano. Kama kutakuwa na uaminifu utakuwa imara katika ndoa basi hata katika mahusiano ya kawaida kutakuwa na uaminifu.
Nawasilisha.
We unachekesha kweli!Kwahiyo wanaume wametulia wamama ndo wanahangaika??Nna mifano hai...kati ya wanandoa watatu wanaotoka nje ya ndoa wawili ni wanaume!Na mmoja sio tu kamletea mkewe mtoto ila na ngoma juu!ukimwi unaenezwa na wanawake zaidi.
Mtansamehe akina mama zangu!.
Wewe unajua unae mume wako...akija bw mwingine akutia vishawishi vile umevikosa au umepungukiwa ...unamkubali.
Hapo unategemea nini?
Unajua kwanini nawataja akina dada?We unachekesha kweli!Kwahiyo wanaume wametulia wamama ndo wanahangaika??Nna mifano hai...kati ya wanandoa watatu wanaotoka nje ya ndoa wawili ni wanaume!Na mmoja sio tu kamletea mkewe mtoto ila na ngoma juu!
Mkuu lazima ukubaliane na mimi kwamba ukimwi unachangiwa sana ukosefu wa uaminifu katika ndoa, hasa wababa mafataki wanautoa ukimwi ndani na kuupeleka nje, kama wababa na wamama wataacha kuwafuatilia vijana wadogo na wakaonesha uaminifu wa kweli bila hiyo itahamia hata kwa vijana walio katika mahusiano ya kawaida.
Unajua kwanini nawataja akina dada?
Mwanaume hata awe fataki...akija kwenu hakuchukui bila idhin yako.
Mkatalie maombi kama utaweza...uone kama utapata upupu!.
Teh teh teh!Haya hongera kwa kugundua tatizo!Ni vizuri ukiwa unamwambia na yule DEMU wako hayo kabla yakumpeleka gheto!Maana wewe kuomba kwako kunakufanya wewe wa kwanza kuinitiate alafu unasema akatae!We unaomba ya kazi gani!Na huyo mwanaume kama sio msababishi akikubaliwa kwanini asipotezee!?
Katika kuifikia Tanzania isiyokuwa na ukimwi kama kampeni iliyozinduliwa na Mhe. Rais miaka michache iliyopita "Tanzania bila ukimwi inawezekana" ninapendekeza kiapo cha ndoa kiwe namna hii:- "Mimi X nakubali kumuoa/kuolewa na Y awe mke/mume wangu katika maisha yangu yote, katika shida na raha na naahidi kumpenda, kumlinda katika hali yoyote ile na naahidi mbele ya Mungu, kanisa/msikiti/serikali, waamini waliopo hapa, ndugu, jamaa na marafiki kutomsaliti mwenzangu kimwili kwa kushiriki zinaa na mtu mwingine, ee Mwenyezi Mungu nisaidie"
Hii ni mbinu mpya ya kisaikolojia ambayo inaweza kusaidia sana katika kupambana na janga hili la ukimwi, kwani njia pekee inayoeneza ukimwi kiurahisi ni ngono ikisaidiwa sana na ukosefu wa uaminifu katika mahusiano. Kama kutakuwa na uaminifu utakuwa imara katika ndoa basi hata katika mahusiano ya kawaida kutakuwa na uaminifu.
Nawasilisha.
wachangiaji karibu wote hapo juu hatujui wala UKIMWI ni nini, tunatamka tu.