Kiapo cha Mwanachadema mtiifu kama vile kinasema; Nitakuwa mtiifu kwa uongozi wa chama changu sitahoji mapato na matumizi ya fedha yanayofanywa na uongozi nitajitolea kuwalinda na kuwasafisha viongozi wangu katika kashfa zote ufisadi na ubadhirifu wa ruzuku, misaada ya wageni na michango ya raia kupitia sadaka.
Katika kufuatilia hoja na taarifa mbalimbali zinazohusu uozo wa matumizi ya fedha na madaraka ndani ya chadema nimegundua kuwa wanachama watiifu wa chama hicho hasa wasomi wameapa kutohoji mapato na matumizi ya fedha ya chama hicho na hata kuukosoa uongozi wa chama hicho. Ukitaka kuchukiwa ndani ya CDM jaribu kukiuka hicho kiapo yatakupata makubwa kama yaliyawapata kina flani.

we bwana usitake kutuingiza kwenye ban wenzako hizo pumba unazotuletea ingekuwa kweli cag angesema m*8*** mkubwa wee
FJM Mkuu uzalendo uliondoka na sera za azimio la Arusha. Ni vigumu kwa kweli kuamini kuwa mtu anaweza kuanzisha hoja kama hii wakati tunamatatizo lukuki yanayotusumbua !Natamani sana kuona siku moja tanzania tunajikita kwenye hoja za maana, na uchambuzi wa sera, mfano chama kinasema nini kuhusu kiwango ya PAYE, au chama Y kinasema nini kuhusu foreign policy, au chama Z kinasema nini kuhusu elimu.
Kuendelea kusoma haya mataputapu hapa ni aibu kwa taifa zima, kwamba miaka 50 ya uhuru bado tuna watu wanafanya propaganda wakati mataifa mengine yanatupita. Kenya wanapiga hatua, Rwanda wanakazana sasa. Tuendokane na hii fedheha.