Kiapo Cha daraja la Umason

client

JF-Expert Member
Dec 13, 2015
619
1,000


Habari za freemason si ngeni masikioni mwetu na tumeziandika kuzisoma na kuzisikia kwa mapana yake....lakini kiuhalisia ni kidogo sana tunachokijua kuhusu hii imani kwakuwa inazungukwa na usiri mkubwa
Freemason kama zilivyo imani nyingine ina sect nyingi ndani yake lakini bado misingi ikiwa ni ile ile
Freemason inajikita kwenye luciferism (katikati ya Mungu na shetani) wengi naamini mnaikumbuka hii mada..kwahiyo kimsingi mmason anabalance huku na huku ili aweze kuwapata wote na kwa umoja au utengano wao kwa ushirika wao au kwa hitilafu zao mason husimama kati yao kupoteza yote na kupata mengine mapya katika upya wa freemason ndio nguzo na daraja kuu la mason
Kama ilivyo kwa mkristo kuacha yote ya kishetani na kumfuata Kristo ndivyo hivyo ilivyo kwa mason kuacha yote ya Kristo na ya shetani na kufuata njia mpya ya Masons
Kama kweli unataka kuingia kwenye umason fikiria tena kiapo hiki kwa undani wake na siri kuu iliyopo juu yake
 

dustless

JF-Expert Member
Oct 21, 2016
799
1,000
Am reserving my comment.

Ila baadae nitauliza nani mkubwa wao sasa if they are not on sided? And what is their target?
 

APEFACE

JF-Expert Member
Oct 1, 2016
3,528
2,000
Freemason is not a SECRET society but is a society with SECRETS of the world-Masonic Book
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom