Kafara za freemason asilia ni vigumu kujua wanatoa kina nani lakini wana makafara ya damu na viapo vizito vinavyoambatana na kutotoa siri yoyote ndio maana kwa hakika ni ngumu kujua hasa mambo yao ya ndani kwakuwa hata ukiasi hawakuachi haiSo kuna baadhi hawafanyi? Na kama ni kafara inakuwa ni ndugu yako au mtu yoyote?
Seremala=carpenterAu fundi seremala
Nilichogundua hawana tofauti na usalama wa taifa ila wao wanafanya vitu vyao binafsi.Haya mambo ya freemanson nilianza kuyasikia miaka ya 90 lkn yalikuwa hayavumi kama sasa tena wa hall lao mitaa ya posta dar kwa Tz.kuna kaka yangu ndie alienza kutueleza ktk familia baada ya mtoto wake kupata ufadhili wa kwenda kusoma Marekani lkn alikitaa asiende huko kijana alikuwa fourm two.hao wafadhili walikuwa na vigezo vyao walikuwa wanangalia perfomance ya mtoto kuanzia chekechea mpk form two ambae anafanya vizuri ktk masomo ya hesabu na sayansi.mtoto wa kaka kichwa yupo vizuri na wala alikuwa hatumii nguvu nyingi kujifunza.kwa kweli familia tulimshangaa ndugu anakaa mtoto asiende Amerika.ndio hapo akatuekeza sababu za kukataa ni hiyo jamii ya freemason kuwa wapo wengi duniani na huwa wana mipango ya muda mrefu kufanikisha mambo yao.Na huwa kuna baadhi ya makundi ya watu wanawanda angali wakiwa wadogo wanawapa elimu na hiyo iman yao,alisema huwa wanahitaji wasanii maarafu,viongozi mahiri kifupi wapo ktk kila sekta.kuna wanajiunga wakiwa wakubwa na wengi wenyewe wana wandaa kwa faida yao.basi kijana alibaki Tz mpk akamaliza form six then akajiunga Kcmc kuchukua MD.sasa ni Dr.
Sasa kuna tofauti na Usakama wa Taifa kama ndio hivyo?Kafara za freemason asilia ni vigumu kujua wanatoa kina nani lakini wana makafara ya damu na viapo vizito vinavyoambatana na kutotoa siri yoyote ndio maana kwa hakika ni ngumu kujua hasa mambo yao ya ndani kwakuwa hata ukiasi hawakuachi hai
Mkuu mimi hawa jamaa nishafanya nao kazi sana tu nawajua mpaka kwenye ngazi yao ya kati.Mason ni imani sio kiteno cha ulinzi wa mataifa
Ni sawa Lakini bado ni sect yenye mizizi ya kiimani sasa kutokana na nidhamu ya juu ya watu wake ndio maana hutumiwa na intelligence units lakini pia kumbuka kwa mlango wa nyuma ndio huwa wanaamua nani awe nani kwenye siasa na uongozi wa nchi kwahiyo upo sahihiMkuu mimi hawa jamaa nishafanya nao kazi sana tu nawajua mpaka kwenye ngazi yao ya kati.
Mkuu bila shaka hubaatishi haya mambo miaka 100 barikiwa sana.Ni sawa Lakini bado ni sect yenye mizizi ya kiimani sasa kutokana na nidhamu ya juu ya watu wake ndio maana hutumiwa na intelligence units lakini pia kumbuka kwa mlango wa nyuma ndio huwa wanaamua nani awe nani kwenye siasa na uongozi wa nchi kwahiyo upo sahihi
Teh teh teh naona unataka kunichimba sasa ni ujanja ujanja tu mkuu.Mungu atuwezeshe tufike wote BTW ulifikia level gani ya umason? Nina hakika kiapo ilikuwa bado
Watakuelewa tu vijana ingawa sasa hivi unaonekana kituko.Hapana ni kwa vile tunaongea lugha moja usijali kwakuwa ukishafika level ya kiapo hapa huwezi kusogea la sivyo hutamaliza siku na hutajua kilichokumaliza
Hizi Iman zimewafanya washindwe kujua kama wapo gizani sidhani kama Mungu alituumba tuje kuteseka Duniani.Sio kosa Lao hawajui
nimeona tu hii nimesisimka kuna kauchawi hapa we mshana upo same ama vepee utakuwa mganga wa kienyeji walahiHabari za freemason si ngeni masikioni mwetu na tumeziandika kuzisoma na kuzisikia kwa mapana yake.
Lakini kiuhalisia ni kidogo sana tunachokijua kuhusu hii imani kwakuwa inazungukwa na usiri mkubwa .
Freemason kama zilivyo imani nyingine ina sect nyingi ndani yake lakini bado misingi ikiwa ni ile ile
Freemason inajikita kwenye luciferism (katikati ya Mungu na shetani) wengi naamini mnaikumbuka hii mada.
Kwahiyo kimsingi mmason anabalance huku na huku ili aweze kuwapata wote na kwa umoja au utengano wao kwa ushirika wao au kwa hitilafu zao mason husimama kati yaoView attachment 319980kupoteza yote na kupata mengine mapya katika upya wa freemason ndio nguzo na daraja kuu la mason .
Kama ilivyo kwa mkristo kuacha yote ya kishetani na kumfuata Kristo ndivyo hivyo ilivyo kwa mason kuacha yote ya Kristo na ya shetani na kufuata njia mpya ya Masons .
Kama kweli unataka kuingia kwenye umason fikiria tena kiapo hiki kwa undani wake na siri kuu iliyopo juu yake View attachment 319982