Hapana kabisa Braza nondo zako ngumu ingawa kuna wanaokuponda lakini ujue wanakukubali kichinichiniHebu jipange basi Bitoz nikuachie hii ID na zawadi juuView attachment 320009
Ni kweli lakini ili kupata wanachama wengi wanazuga kujitenga na shetani mpaka uingie ndani yao ndio unaufahamu ukweli...uyo kunguru naye ni mchawi..? hahahhaaaa.!! mshana jr ninachofahamu mimi kutokana na shuhuda za ex freemasons ni kuwa hii imani haina kubalance ni kitengo cha shetani kamili, so ni uchawi kamili....