kiapo cha damu

kiapo cha damu

Habari zenu wakuu..mim ni kijana wa miaka 22..Sikuwa kwenye mahusiano kwa muda mrefu, takribani miezi 3 ilyopita..basi baada ya upweke wote huo, mnamo mwaka huu mwezi wa pili niliamua kutafuta girlfriend..huyo girlfriend wangu nampenda na yeye ananipenda kwani toka tuwe wote hatujawahi kugombana wala kukwazana kwa hali yoyote ile..
Tatizo lililonileta hapa ni kwamba huyo mpenzi wangu kuna siku nilifanya naye mapenzi,basi baada ya kufanya nae tu nilipopiga goli la kwanza hamu yote ilikata na kwa kweli uume wangu ulishindwa kabisa kusimama kwa takriban dakika 20 hv ambayo c kawaida kwangu..Mpaka hapo baadaye uliposimama..Nikapanda tena mzigoni kwa mara ya pil nikafanakiwa kudumu kama dk 15 hivi kabla ya kupiga goli lapil na hapo uume ndo ukashindwa kabisa kusimama mpaka ikanuma kwani mpenzi wangu alijitahid kila njia kuisimamisha lakin ilishindikana..Baada ya kumaliza aliniomba msamaha na kusema kuwa yeye ndo mwenye makosa ya kusababisha uume uchelewe kusimama na akaniambia kwamba, hapo awali kabla ya kuwa na mim alikuwa na mvulana wake ambae waliapa kwa damu kwamba, endapo mmojawapo akimsaliti mwenzie bas wakati wa kufanya mapenzi wote wawil wasifurahie hlo tendo...huyo boyfriend wake ameeachana nae kama miaka mitatu hiv illiyopt...

maswali yangu ni haya hapa.1..kitendo cha uume wangu kutosimama kwa mda mrefu ni kawaida au sio kawaida..na kama sio kawaida je imetokana na hiko kiapo walichoeka awali...2.hivi kweli jaman haya mambo ya viapo ni kweli yapo?
natanguliza shukrani na ushauri wenu wana jamvi...

ashy da don hebu mlete kwangu huyo demu ili na mimi ni-test kuuma yake kisha ndo tuthibitishe ama tuikatae dhana yake ya kiapo. Vinginevyo huo ni uoga wako tu.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna lolote wewe mwenyewe hukijiamini ndio maana umebaki wewe na kipa unapaisha juu mara mbili
 
Back
Top Bottom