Mia saba JF-Expert Member Joined Mar 4, 2022 Posts 255 Reaction score 390 Aug 2, 2022 Thread starter #2 Mshana Jr
DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 43,311 Reaction score 109,415 Aug 2, 2022 #3 Huu Ni Ujinga, Hapo Kama hamjapima, Kuambukizana ngoma ni nje nje hata nayo mbususu hujala Sent using Jamii Forums mobile app
Huu Ni Ujinga, Hapo Kama hamjapima, Kuambukizana ngoma ni nje nje hata nayo mbususu hujala Sent using Jamii Forums mobile app
M Maili tatu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2020 Posts 830 Reaction score 1,076 Aug 3, 2022 #4 Inategemea unaapa wapi na kwa Nani...
Mtili wandu JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 9,293 Reaction score 12,875 Aug 3, 2022 #5 Nakumbuka G aliniomba tufanye hivyo zamani, lakini alivyopotea sasa km upepo haonekani wakati tupo mji mmoja.
Nakumbuka G aliniomba tufanye hivyo zamani, lakini alivyopotea sasa km upepo haonekani wakati tupo mji mmoja.
Mia saba JF-Expert Member Joined Mar 4, 2022 Posts 255 Reaction score 390 Aug 3, 2022 Thread starter #6 Myangu said: Nakumbuka G aliniomba tufanye hivyo zamani, lakini alivyopotea sasa km upepo haonekani wakati tupo mji mmoja. Click to expand... Unadhani alimaanisha nini?
Myangu said: Nakumbuka G aliniomba tufanye hivyo zamani, lakini alivyopotea sasa km upepo haonekani wakati tupo mji mmoja. Click to expand... Unadhani alimaanisha nini?
Mtili wandu JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 9,293 Reaction score 12,875 Aug 3, 2022 #7 Chochote kitu said: Unadhani alimaanisha nini? Click to expand... Tufanye yamini, tusiwe mafariki tuwe ndugu wa damu.
Chochote kitu said: Unadhani alimaanisha nini? Click to expand... Tufanye yamini, tusiwe mafariki tuwe ndugu wa damu.
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,208 Aug 3, 2022 #8 Ni hadithi za kufikirika tu nothing else
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,159 Reaction score 72,199 Aug 3, 2022 #9 Chochote kitu said: View attachment 2312453 Click to expand... VIPI MMEPIMA HIV AU MNATOA KAFARA YA DAMU?
Chochote kitu said: View attachment 2312453 Click to expand... VIPI MMEPIMA HIV AU MNATOA KAFARA YA DAMU?