Kiapo cha damu kwenye mapenzi!

Kiapo cha damu kwenye mapenzi!

nyaggad

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
1,160
Reaction score
694
Habari wanajf!

Kama kichwa cha habari. Kinavyojieleza,hiki ni kisa kilichonitokea mwaka 2012,
Kipindi hicho. nikiwa. nafanya. Kazi kwenye. Kampuni ya ujenzi,
Siku. Mmoja Bosi wangu. Alinituma nikanunue vifaa. Flani vya kazi,nami nikatii agizo la bosi wangu. nakuelekea kwenye maduka. ya vifaa vya ujenzi,

Nilifika kwenye Duka moja hivi ambalo lilikuwa nikubwa sana,
Nilikutana. na Binti mmoja wa kiarabu ambaye ndio alikuwa bosi. Pale,nakumbuka baada ya kumuona yule binti moyo wangu
Ulistuka "paap"na mapigo ya moyo Ghafla yaliongezeka kwa. Kasi ya 4G,kutokana. na uzuri na mvuto. Aliokuwa nao,lakini yule Binti alinikaribisha vyema kwa
Kunichangamkia,ndipo nilipo pata cofidence ya kuzungumzia nae vizuri,Akanihudumia pindi nataka kuondoka. nikamuomba. number yake ya simu kwa ajili ya issue
Za kibiashara akanipatia!

Tangu siku huyo. Nilivutiwa na kumpenda. Sana huyo. Binti. niliapa lazima. ni mpate kwa namna yoyote. Ile,tuliendeleza uhusiano. wa kibiashara na mawasiliano. Ya karibu,ndipo
Siku. Moja nikaishinda hofu,
Nikamwambia ukweli. ni kiasi. gani nampenda na itapendeza zaidi. Tukiwa pamoja,lakini yule
Binti alinijibu tayari. ana mchumba. ake ambae ni binadamu. Yake yupo Oman
Kwa hiyo hawezi Kuwa na mimi
Nilimshawishi. na kumbembeleza sana lakini aliendelea Kunikatalia.

Siku. Mmoja nilimfuata hapo Dukani kwao,nikamkumbusha tena nampenda,akaniuliza "nitaaminije kama unanipenda kweli?,maana nyinyi wanaume ni waongo sana!"kipindi hicho tunazungumza alikuwa ana menya matunda,baada ya kuniuliza hilo swali,nikamuomba. Kisu chake alichoshika mkononi,
Akanipatia ndipo nilipoamua kujikata kidogo kwenye mkono wangu,
Damu zikaanza kunitoka,yeye akabaki. Anashaangaa tu kwa hofu,mimi nikaamua kuchovya
Ile Damu na kidole kisha nikaandika maneno haya kwenye meza yake kwa damu yangu" Niamini nakupenda kweli",huku
Damu zikiendelea kunitoka
nikaanza kujitetemesha mwili na kujifanya kusikia kizunguzungu,yule binti
Alichanganyikiwa,akakichukua kile. Kisu akakiweka mbali na kuanza kunipa. Huduma ya kwanza. Ilikuzuia damu. Isiendelee. Kutoka,baada ya mda. Mfupi damu ikakatika ikawa haitoki nikarudi katika hali yangu Ya kawaida. nikaamua kwenda zangu nyumbani kupumzika,
Zikapita kama siku tatu yule Binti akanipigia simu anataka kunitembelea kuona naendeleaje
Nikamkaribisha kwa. Mikono miwili baada ya mda mfupi akawasili Gheto kwangu napoishi huku
Akiwa amebebelea mazaga Kibao,
Tukapiga story mara ghafla tukajikuta tumezama Kwenye bahari ya mahaba,ndio ukawa
Mwanzo wa mapenzi. Yetu,mpaka
Baadae alipokuja kusafiri kwenda. Oman ndipo tukapoteana mpaka leo,nadhani atakuwa tayari. Ameshaolewa. Huko.


Hicho nikiapo changu cha Damu kwa aliyekuwa mpenzi wangu,je wewe uliapa kiapo gani kwa mpenzi wako ili akuamini. Kuwa unampenda. Kweli?
 
Viapo vya damu sio vizuri
ni kweli mkuu,, kiapo cha damu cyo kizuri,, kuna rafiki wa dada yangu mpaka leo anajuta,, alikuwa na boyfriend wake , walipendana sana ,, ikawabidi waweke kiapo cha damu , kila mtu akajikata kiganjani kila huyo kunyonya damu ya mwenzio kwa machozi ya furaha kunyeshana kweli wameshibana,,,,


lakini kilichotokea kwa baadaye ,, rafiki wa dada yng akamsaliti mwenzie,, mpaka leo anajuta ,, anahangaika huku na kule ,, maisha ya ndoa yake ni ya hatari hana furaha,, muda wote n mtu mwenye stress,,, hata akili yake haipo sawa ameshakuwa km kichaa sasa

yule boyfriend wake wa mwanzo ,, ana maisha mazur , mkeo na watoto wawili. kwa sababu yeye ndo alisalitiwa
 
Mbona mimi sijaona kama kuna kiapo chochote hapo zaidi ya kujikatakata na visu kisanii ili ujitwalie binti wa kimanga kiapo ni kitu kingine kabisa
ipo cku ,, na ww, utajikata tu lbd km ujapenda kwel mkuu
 
Back
Top Bottom