Kiapo cha Baraza la Mawaziri na ukimya wa Lowassa!

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
20,351
38,539
Lowassa yuko kimya kabisa wala hazungumzii mambo yalivyokuwa ndani ya Serikali tangu atoke kwenye Uwaziri Mkuu ambao alijiuzulu mwaka 2008. Kuna baadhi ya watu wanautafsiri ukimya wa Lowassa kama ni woga ama kukiri kwamba alishiriki kwenye "Ufisadi" wa Richmond. Lakini Lowassa alikuwa ni Waziri Mkuu na kwa kawaida Waziri Mkuu hula kiapo cha uaminifu na cha kutunza siri za Baraza la Mawaziri ambacho kipo Kisheria.

Lakini pia kwa mujibu wa Katiba yetu Ibara ya 52 ambayo inataja majukumu na mipaka ya kazi za Waziri Mkuu. Waziri Mkuu anatakiwa kufanya kazi kwa kufuata maelekezo ya Rais aliyeko Madarakani. Ukisoma pia Ibara ya 35 (i) wafanyakazi wote wa serikali wanafanya kazi kwa niaba ya Rais.

Jambo la Richmond kupewa Tenda ya kuleta Jenereta za Kufua Umeme lilianzia kwenye Baraza la Mawaziri. Lowassa kutaka jambo hilo liende mahakamani ni kwa kuwa ni kwenye mahakama ndiko kwa kuapa kiapo cha kimahakama ndipo kiapo cha kutunza Siri za Baraza la Mawaziri hutenguka.

Leo Lowassa akithubutu kusema yale waliyojadiliana kwenye Baraza la Mawaziri kuhusu Richmond atakuwa anafanya jinai inayofanana na uhaini. Kama alivyosema Nape kwamba "Hawezi kusema kila kitu" ndivyo na Lowassa naye anavyobanwa na kiapo cha uaminifu kwa Rais na Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania.

Njia Pekee ya kukivunja Kiapo cha Waziri Mkuu alichokula Lowassa ni kumpeleka Mahakamani ili huko akaseme ambayo akisema leo anaweza kushitakiwa hata kwa Kosa la Uhaini! Kiapo hicho hakiwezi kutenguliwa kwa Hoja ya Richmond kurudishwa Bungeni wala kwa Mwakyembe kujiapiza kuachia uwaziri ili apambane kwenye majadiliano Bungeni,
 
Kama ningekuwa ni mimi, kwa jinsi anavyodharirishwa, (rejea hotuba ya JK ya kufunga kampeni Mwanza) nisingejali hicho kiapo!
 
Bavicha sasa kibao kimewageukia mna haha kumsafisha bosi wenu.Huyo kama mlivyokuwa mnamsema hasafishiki ndio kwanza mnamzamisha na yeye anaujua ila nyie viherehere wa mitandaoni mnaona kama mnamnyanyua kumbe ndio mnamuumiza moyo
 
Huko ndio kunaitwa kukomaa kifikra na busara tele! Hawezi kwenda kinyume na kiapo kile! Kumbuka analipwa kama PM mstaafu na ana heshima zote! Kiapo lazima alinde watengue waende mahakamani ukasikie viroja!! JK alicheza kisiasa hakusema lolote maana yeye ndie kila kitu anacheza na fikra za watu ila yeye ndiye Richmond
 
Bavicha sasa kibao kimewageukia mna haha kumsafisha bosi wenu.Huyo kama mlivyokuwa mnamsema hasafishiki ndio kwanza mnamzamisha na yeye anaujua ila nyie viherehere wa mitandaoni mnaona kama mnamnyanyua kumbe ndio mnamuumiza moyo
Alikuwa nanyi huko hadi mlipoamua kumtosa asigombee kile kiti cha enzi. Alikuwa safi tuu. Alipotafuta pengine ili aweze kufikia Self Actualization need yake akawa tishio!! Wabaya wake wakaamua kumchafua hadi kumnanga eti White house hakuna Wodi za Wagonjwa. Mungu anawaona Mzee wa watu anavumilia hajibu.
 
Huo ndio UKWELI.
 
Kam adi raisi aliekuwa madarakani.alimuattack lazima ajitetee mana hiyo sio siri bali ni wizi
Ukimya
wake ni kuogopa mengi zaidi yatafunguka (labda)

Mnamtetea bure
 
Lowasa is innocent..
Mwakyembe anajisemea tu.
Hana ujasiri wa kuachia uwaziri hata kwasababu moja.

Kwanza alipochunwa Ngozi enzi zile, umma ulikua nyuma yake, mpaka alitishia kusema kilakitu, lakini baada ya kupelekwa india na kupewa cheo, mpaka Leo amekaa kimya. Hajasthubutu kuwataja wabaya wake.

Mwakyembe Alipoona Nape katimuliwa uwaziri unfairly, hajanyanyuka kukataa uteuzi wake wa uwaziri wa usanii.

Kimsingi anachoweza ni usanii. Mambo ya sheria alishasahau miaka mingi. Nadhani wanaomshutumu wanamwonea tu. Ujasiri Hana tena.
 
Pamoja na kwamba lowasa simpendi,lakini huyu mzee ana busara sana,angekua ni mwingine katemwa ccm angeongea yote.we mcheki nape anavyolialia daily kwenye media kisa uwaziri.
 
Lowassa yuko kimya kabisa wala hazungumzii mambo yalivyokuwa ndani ya Serikali tangu atoke kwenye Uwaziri Mkuu ambao alijiuzulu mwaka 2008. Kuna baadhi ya watu wanautafsiri ukimya wa Lowassa kama ni woga ama kukiri kwamba alishiriki kwenye "Ufisadi" wa Richmond. Lakini Lowassa alikuwa ni Waziri Mkuu na kwa kawaida Waziri Mkuu hula kiapo cha uaminifu na cha kutunza siri za Baraza la Mawaziri ambacho kipo Kisheria.

Lakini pia kwa mujibu wa Katiba yetu Ibara ya 52 ambayo inataja majukumu na mipaka ya kazi za Waziri Mkuu. Waziri Mkuu anatakiwa kufanya kazi kwa kufuata maelekezo ya Rais aliyeko Madarakani. Ukisoma pia Ibara ya 35 (i) wafanyakazi wote wa serikali wanafanya kazi kwa niaba ya Rais.

Jambo la Richmond kupewa Tenda ya kuleta Jenereta za Kufua Umeme lilianzia kwenye Baraza la Mawaziri. Lowassa kutaka jambo hilo liende mahakamani ni kwa kuwa ni kwenye mahakama ndiko kwa kuapa kiapo cha kimahakama ndipo kiapo cha kutunza Siri za Baraza la Mawaziri hutenguka.

Leo Lowassa akithubutu kusema yale waliyojadiliana kwenye Baraza la Mawaziri kuhusu Richmond atakuwa anafanya jinai inayofanana na uhaini. Kama alivyosema Nape kwamba "Hawezi kusema kila kitu" ndivyo na Lowassa naye anavyobanwa na kiapo cha uaminifu kwa Rais na Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania.

Njia Pekee ya kukivunja Kiapo cha Waziri Mkuu alichokula Lowassa ni kumpeleka Mahakamani ili huko akaseme ambayo akisema leo anaweza kushitakiwa hata kwa Kosa la Uhaini! Kiapo hicho hakiwezi kutenguliwa kwa Hoja ya Richmond kurudishwa Bungeni wala kwa Mwakyembe kujiapiza kuachia uwaziri ili apambane kwenye majadiliano Bungeni,
Allen hivi mtu kama Mwakyembe naye ni mtu wa maana kweli kwa taifa letu? ana elimu ambayo kwanza anaidhalilisha! yule ni mchumia tumbo mkubwa! kiukweli ni mp....mbv afadhali mtu kama kibajaj maana tunajua shule yake ndogo lakin si matendo kama ya huyu Dr. uchwara. By the way toka sakata la Richmond kila kitu kuhusu report yake vinafeli na juzi ndugu Naeem Gire kaachaliwa huru na mahakama! hapo ndo utajua kuwa tatizo lilikuwa uwaziri mkuu na urais, na zengwe lilitengenezwa na mkwere, sitta akatekeleza akishirikiana na mwakyembe.
 
Pamoja na kwamba lowasa simpendi,lakini huyu mzee ana busara sana,angekua ni mwingine katemwa ccm angeongea yote.we mcheki nape anavyolialia daily kwenye media kisa uwaziri.
Umenena vema mkuu Mungu akubariki! huyu Mzee ana mabaya yake lakini pia ana mazuri yake hata kama ni kidogo sana! moja ya jambo ambalo nimelipenda kwake ni uvumilivu na kuwa na mgumu pindi kashikashi zinapomsonga mwanadamu!
 
Alikuwa nanyi huko hadi mlipoamua kumtosa asigombee kile kiti cha enzi. Alikuwa safi tuu. Alipotafuta pengine ili aweze kufikia Self Actualization need yake akawa tishio!! Wabaya wake wakaamua kumchafua hadi kumnanga eti White house hakuna Wodi za Wagonjwa. Mungu anawaona Mzee wa watu anavumilia hajibu.
Tangu lini mwizi akapiga kelele na nyinyi? Kwa hiyo wezi wote Wana busara?
 
Back
Top Bottom