Kiama

Hawa ndege ni wizi achaa,kuna siku nikitembea bwawani wanakuwa wengi kwenye bwawa la maji ..mwanangu alikuwa akitafuna kimkate chake almanusra wakidokoe dah maana mpaka akaanza kuogopa walikuja kundi zima wanatuzunguka na kuanza kutuandama.Au upite eneo ambalo wametaga yai na kuna kitoto chao wanakuwa so aggressive wanakuandama na kukuzunguka tena wanaitana ukitahamaki wako 10 tayari wanakusurround!Siku hio nilitoa mkuku bana nilihofia ningepata upofu bure si unauona mdomo ulivyo mkali huo ukikudonoa!!
 

Hawa viumbe ni hatari shukuru Mungu mliwatoka salama kukupofua hawa ni kitendo cha sekunde tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…