Kiama Youtube

Kiama Youtube

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Posts
5,692
Reaction score
2,576
Youtube wametangaza masharti mapya, ili uweze kutengeneza hela na video za YouTube (monetize) inabidi uwe na Subscribers si chini ya 1,000 na watch hours 4,000 katika siku 365 zilizopita

Kwa channel ambazo teyari zipo monetized wana hadi February 20 kujiweka sawa na masharti haya.

Sharti la sasa hivi ni uwe na 10,000 views tu.

Link: YouTube Creator Blog: Additional Changes to the YouTube Partner Program (YPP) to Better Protect Creators
Now days wamekuwa so restricted sana.
 
Hata hii ya subscribers bado ni kawaida sana kama unapada subscribers 300 kwa siku kuna shida gani hapo
 
Subscriber 300 kwa siku sio kitu rahisi mzee hasa kwa channel zenye original content sio kurepost video za watu tu.
 
Inawezekana bro kupata sub 300 perday sema tu vipo vitu ambavyo ni ladhima uzingatie kama tags, language, descriptio na tittle, hii kama huwa hushare katka magroup

Lakin lingine kama una youtube channel ili ikuwe halaka ni ladha uwe na fanbase kubwa hasa fb mfano jitahidi kuwa na group au page. Promote page yako iwe na fans wengi hapo youtube channel yako itakuwa kama mchezo

Mimi sikuanza na youtube channel nilianza na fb page nikaja blog na sasa youtube channel natumia blog na fb page kupromote channel yangu

I know si kazi rahisi ila ni kuvumilia tu
 
Unapost original content au viral video hizi hizi anazopost kila mtu? Of coz kama unapost video za Diamond na Wema unaweza kupata 300 per day ila kwa mfano kuna watu wanatoa video za tutorial ambazo hazifuatwi na watu wengi.

Pia kuna watu wanaopost video moja inaenda viral inapata millions of views, maana yake huyu mtu hatapata hela yoyote kutokana na hiyo video kwa kuwa hana folowers 1,000.
 
Back
Top Bottom