Hiii ni hatari sana lakini wacha mshugulikiwe kweli kweli ......
Tuliwaambia wote kuwa ccm uwa aina huruma na watanzania baada ya uchaguzi hamukuelewa......
Wacha iwashugulikie kabisa hasa vijijini watu wajue maana ya maisha.......
Aiseeeee,basi wafanye kila ukizaa mtoto ulipe kodi maana kwa akili hizi,nchi hii bado ina safari ndefuTutakuwa kama Marekani. Kodi inakusanywa kila mahali, kila mwananchi anapata huduma zote muhimu.
Hongera serikali ya CCM.
Hili litakuwa fundisho kwa wale waliosema tutaisoma namba. Nafikiri washatambua tunaisoma wote na ikifika 2020 akili itakuwa imewarudiView attachment 437895 Sasa namba zinasomeka sawia,sasa ukiweka 5000,unakatwa VAT kwanza ndipo unaendelea na utaratibu wa vifurushiView attachment 437895
Hao million nane walituimbia tutaisoma number nadhani wao kwenye mikopo, ajira na hii ni exceptional.Lakini Mkuu huoni Watanzania 54million tunapata tabu kwa gharama ya wale 8Mil (kama kweli walifika hiyo idadi)?? Hivi hawa 8mil wasipofunguka akili 2020 wakabadili maamuzi si tutaendelea aisee kutaabika?
E Mungu, Muumba wa Mbingu na Ardhi tunusuru sisi waja wako, nasi ni Binadamu pia.
Weeeeeeeeee VAT huwa inakatwa kwa mtumiaji wa mwisho,labda hapa kwetu Tanzania tuZoezi hili ilikuwa lifanyike miaka mingi iliyopita wakati makampuni ya simu yanaingia.
Nchi nyingi hiyo kodi inakatwa kampuni siyo mteja anayenunua vocha au muda wa maongezi. Kuna umafia fulani unafanywa na makampuni haya hapa kwwtu baada ya kuwachia kwa miaka mingi.
Haiwezekani ununue airtime shs 1,000 lakini waingine 800 na ushee kwenye simu ya mteja. Serikali lazima inawatoze kodi lakini sio wao kuhamishia kwa wateja.
Nani "walizoza"?Dada vip ukilinganisha utawala huu na ule wa mwezetu jk maana walizoza sana
Karibu sana mkuundio maana wiki iliyopita niliweka vocha ya airtel ya sh 1000 ghafla ikabaki 825 duuh nahamia Rwanda
Si wale jamaa zetu wa upande wa piliNani "walizoza"?
Ndio tukome. Tulifikiri zile push ups ni za bure kumbe zinalipiwa. Wacha tunyooshwe!Uku ndio kukamuliwa. Hadi 2020 wale milioni 8 watakua wamefungua akili.
Tutakuwa kama Marekani. Kodi inakusanywa kila mahali, kila mwananchi anapata huduma zote muhimu.
Hongera serikali ya CCM.
Tulipe tu hakuna namna maana sasà tumechoka ,asiyelipa ni mchocheziLong live magufuli