akenajo JF-Expert Member Joined Oct 21, 2012 Posts 1,634 Reaction score 613 Jan 1, 2013 #1 Nawatakia wote kila lakheri mwaka wote tupate kazi na tuzifanye kwa bidii kujenga taifa letu na familia zetu mungu tusaidie
Nawatakia wote kila lakheri mwaka wote tupate kazi na tuzifanye kwa bidii kujenga taifa letu na familia zetu mungu tusaidie
Majigo JF-Expert Member Joined Feb 23, 2012 Posts 5,519 Reaction score 1,832 Jan 1, 2013 #2 sawa Mkuu Ila Mimi Sikuiona Heri Cz Sina Kaz Mpaka Sasa!
Elerai JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 474 Reaction score 139 Jan 1, 2013 #3 Kwako pia najua ya kuwa mwaka huu napata kazi in the name of GOD
Thanda JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 1,915 Reaction score 596 Jan 1, 2013 #4 ..........Nothing But Prayer. Mark 7:27-29 Elerai said: Kwako pia najua ya kuwa mwaka huu napata kazi in the name of GOD Click to expand...
..........Nothing But Prayer. Mark 7:27-29 Elerai said: Kwako pia najua ya kuwa mwaka huu napata kazi in the name of GOD Click to expand...
O Otorong'ong'o Platinum Member Joined Aug 17, 2011 Posts 39,541 Reaction score 30,097 Jan 1, 2013 #5 Nawe pia...
Baba Mtu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2008 Posts 870 Reaction score 170 Jan 2, 2013 #6 Majigo said: sawa Mkuu Ila Mimi Sikuiona Heri Cz Sina Kaz Mpaka Sasa! Click to expand... Shukuru mola kwa kuwa una afya nzuri
Majigo said: sawa Mkuu Ila Mimi Sikuiona Heri Cz Sina Kaz Mpaka Sasa! Click to expand... Shukuru mola kwa kuwa una afya nzuri
Mwanamalundi JF-Expert Member Joined Aug 30, 2007 Posts 3,126 Reaction score 1,440 Jan 2, 2013 #7 akenajo said: Nawatakia wote kila lakheri mwaka wote tupate kazi na tuzifanye kwa bidii kujenga taifa letu na familia zetu mungu tusaidie Click to expand... Wewe ni senior member kweli? I doubt!! Hii ni sehemu ya Nafasi za kazi na tenda. Wewe unatuma salaam za mwaka mpya!!! Akili yako iko sawa kweli?
akenajo said: Nawatakia wote kila lakheri mwaka wote tupate kazi na tuzifanye kwa bidii kujenga taifa letu na familia zetu mungu tusaidie Click to expand... Wewe ni senior member kweli? I doubt!! Hii ni sehemu ya Nafasi za kazi na tenda. Wewe unatuma salaam za mwaka mpya!!! Akili yako iko sawa kweli?
ummu kulthum JF-Expert Member Joined Feb 6, 2012 Posts 2,784 Reaction score 1,317 Jan 2, 2013 #8 Mwanamalundi said: Wewe ni senior member kweli? I doubt!! Hii ni sehemu ya Nafasi za kazi na tenda. Wewe unatuma salaam za mwaka mpya!!! Akili yako iko sawa kweli? Click to expand... wewe ndio akili zako haziko sawa kwenye tenda na kazi hawana mwaka mpya?mwelekeze akaziweke wapi sasa?mbona majukwaa karibu yote yana hizi salam kosa lake ni lipi? FIKIRI KWANZA KABDLA YA KUCOMMENT
Mwanamalundi said: Wewe ni senior member kweli? I doubt!! Hii ni sehemu ya Nafasi za kazi na tenda. Wewe unatuma salaam za mwaka mpya!!! Akili yako iko sawa kweli? Click to expand... wewe ndio akili zako haziko sawa kwenye tenda na kazi hawana mwaka mpya?mwelekeze akaziweke wapi sasa?mbona majukwaa karibu yote yana hizi salam kosa lake ni lipi? FIKIRI KWANZA KABDLA YA KUCOMMENT