GE2025 Khatau achukua fomu ya udiwani Makonde

GE2025 Khatau achukua fomu ya udiwani Makonde

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,038
Mgombea udiwani Kata ya Makonde Halmashauri ya Manispaa ya Lindi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Kijana Abdalah Khatau amechukua fomu ya kugombea udiawani ambapo Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Ngazi ya Kata hiyo amemkabidhi fomu mgombea huyo.

Soma pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Udiwani katika Uchaguzi Mkuu 2025

Screenshot 2025-08-21 021005.png


Baada ya kuchukua fomu Khatau, amekishukuru chama chake kwa kumuamini kumteua kuwania nafasi hiyo akiahidi endapo atachaguliwa na wananchi mwezi Oktoba kwenye uchaguzi Mkuu atahakikisha kata ya Makonde iliyopo Mjini kati inaendelea kubadilika kimaendeleo.
 
Back
Top Bottom