Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,266
Makanisa hayo yatabomolewa kwa madai kuwa yamejengwa maeneo ya makaazi
Mtandao huo ulimnukuu kasisi Yahya Abdulrahman wa kanisa la Evangelican la Sudan, akiilaumu Serikali kwa kupanga kuharibu maeneo wanayofanyia ibada Wakristo
"Hatua hii inalenga makanisa yaliyo mjini Khartoum kwa sababu kuna madai kuwa yako maeneo ya umma lakini nafikiri kuwa huo ndio mpango ", alinukuliwa akisema
Chanzo :BBC /Swahili