Tupo mbali mbali sana..am sure..ki location
miss neddy nimekukosea nini?Hahahaa miss neddy ndo alipewa jukumu la kadi labda aliamua kukubania tu
Huyo utafiti wako either ni mchoyo au ana roho mbaya ama anaogopa kuibiwa.....
anaogopa...... huyu anaweza kuja kwenye sherehe na silaha za kuwindia
Mwambie mwanaume hatakiwi kuogopa atiii!!!!!..........
akaaa mwenzangu mwache achunge mzigo wake
Mmmmmh! hapa wampiga changa, kwani yeye ndie huyo aliye chonga balabala?
njoo uangalizie kwangu maana nililonalo halirushiki...Naomba bando na mimi niangalie hii video
njoo uangalizie kwangu maana nililonalo halirushiki...