https://www.youtube.com/watch?v=RP5jDksvNTMMbona hatualikani?
Mbona hatualikani?
Acheni kelele! bb harusi kapumzika!
Toka nije harusini kwako nimepotezana mume wangu.Sijui yupo kwa yule mdogo wako????
Hapana chezea waarabu wewe🙂
dadaaaa anaolewaa maali ishatolewa
dada huyooo
Na weye lini??
Hahahaa miss neddy ndo alipewa jukumu la kadi labda aliamua kukubania tu
tayari lol
Mmmmh na wewe ulitunyima kadi?