Kutoka kwa Bi Mashavu Said Sanani ambaye ni Katibu wa Tawi la Gando Kisiwani Pemba ni kuwa wamemfukuza rasmi uwanachama aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Gando kwa tiketi ya Chama Cha Wananchi CUF 2010-2015.
Zaidi fuatilia 15.3.2017 kipindi cha Amka nasi na Swahiba Fm 102.9 saa 12:00 - 400am.
Zaidi fuatilia 15.3.2017 kipindi cha Amka nasi na Swahiba Fm 102.9 saa 12:00 - 400am.