GE2025 Khalif Ifn Karim achukua fomu ya kugombea udiwani kata ya Upanga Magharibi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Mdau wa Michezo nchini ambaye pia ni Mwenyekiti wa umoja wa vijana kata ya Upanga Magharibi Khalil Ifn Karim amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Udiwani kata ya upanga Magharibi kuelekea uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba

Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Screenshot 2025-06-28 213931.png
 
uchaguzi huu hauitaji kua na sera wewe vaa tshirt ana fulana ya ssh na kofia tayari umefuzu kuwa diwani/mbunge
Ni Kweli tupu uliloliandika.
Ila hii kata Ina shida ndogondogo hazionekani kwa kuwa wakazzi wake wanajiweza....

miaka ya nyuma haikuwa hata na kituo Cha afya sijui miaka ya karibuni maana sijapata taarifa za huko miaka mingi sasa.
Shule zao za serikali zote zinajazwa na wakazi wa kata nyingine.....
.
.
.
Tunahitaji viongozi bora kwa maslahi ya jamii
 
Hivi diwani wake bado ni yule mtoto wa Sophia Simba? Nadhani anaitwa Adinan Kondo.

Zile figisu walimfanyia Mmbaga aliekua anapambania maendeleo ya kata hiyo hadi akaamua kurudi kwao Upareni.
 
Mdau wa Michezo nchini ambaye pia ni Mwenyekiti wa umoja wa vijana kata ya Upanga Magharibi Khalil Ifn Karim amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Udiwani kata ya upanga Magharibi kuelekea uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba

Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3387383
NO REFORMS NO ELECTION, Watanzania wanajua vyama vingine nje ya CHADEMA ni Mali ya CCM hivyo uchaguzi bila CHADEMA tafsiri yake ni kwamba CCM inasimama peke yake kwenye uchaguzi na kujipigia kura.NO REFORMS NO ELECTION Hesabu zetu tunazifungia hapo.
 
Back
Top Bottom