NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,281
- 24,070
Ongeza na fundi mwamba wa Lusaka wote hao ndani ya nyumba.Utopwenga waende tena CAS kushtaki ndo watajua kama awajui.Fundi Emanuel okwi ,Eng Thadeo Lwanga, Dk Khalid Aucho............
Ongeza na fundi mwamba wa Lusaka wote hao ndani ya nyumba.Utopwenga waende tena CAS kushtaki ndo watajua kama awajui.Fundi Emanuel okwi ,Eng Thadeo Lwanga, Dk Khalid Aucho............
Mwambie Huyo jamaa NAWATAFUNA kuna ujumbe wake hapa.Kwani Aucho mwenyewe anasemaje? Huyu hapa
TunawakerrrrrrrrraOngeza na fundi mwamba wa Lusaka wote hao ndani ya nyumba.Utopwenga waende tena CAS kushtaki ndo watajua kama awajui.
Kaokote matundatulia mkia wewe
Morrison pia mlisema hivi hivi tulieni sindano iwapenye kunakoHamna iyo jeuri
Wana mhaho,kuna mmoja hapa nimemzingua kashindwa kunywa chaiTunawakerrrrrrrrra

.dah Utopolo wanakerekaaaaa

Morrison ilipostiwa picha imeshikwa na mikataba