Khaaaaa!

Khaaaaa!

God knows

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
276
Reaction score
173
Leo nilikuwa na shida fulani. Nikamuuliza rafiki yangu mmoja anisaidie akasema kuna mdada anaweza kunisaidia. Akanipa namba ya huyo mdada. Hanifahamu wala mimi simfahamu. Jioni hii nikamtext. Conversation ilikuwa kama ifuatavyo:

MIMI: Mambo?
Reply: Poa
MIMI: Upo wapi?
Reply: Kwani we nani?
MIMI: I am ................... I would like to meet you.
Reply: Em niache!
MIMI: Ok fine!You gotta deny the message rather than a call. Good evening!

Wana MMU mnisaidie. Sijaongea chochote ila majibu yalikuwa kama hayo hapo juu.

Nimeboreka. Yaani kaniharibia siku!

wee ***** nini....wee ulitakiwa mpigia sio sms kama unashida....usimlaumu dada wa watu bure
 
unaleta kujuana wakati mtu ana stress zake, he he he pole sana......
 
Alichofanya ni sahihi sana ulitakiwa ujitambulishe kwanza kwakumwambia namba yake umeipata kwa nani na unashida ambayo unadhani yeye ana weza kukusaidia,
 
Inaonekana hata mtumizi sahihi ya simu hauyajui, kama mtu haumjui ilipasa ujitambulishe kwanza kisha ueleze shida yako... Wacha kulaumu wakati ni uzembe wako mwenyewe.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
tena ushukuru huyo dada kakujibu, ulipaswa umpigie ujitambulishe na umweleze shida zako.

Alokupa namba pia sio mstaarabu huwezi kugawa hivyo namba ya mtu, alipaswa ampigie amwambie kuna mtu nampa namba yako ana shida moja, mbili tatu, then dada akikubali akupe namba yake na amfowadie huyo dada namba yako.......
 
Kweli jamani, mtu kakutumia msg, wala hajajitambulisha vizuri zaidi ya kutaja jina lake, anakuambia mkutane nawe unaenda tu... U deserved that responce!
 
Tafuta wapi wanatoa semina juu ya matumizi sahihi ya SIMU!
baada ya kuanika uji.nga wako hapa sasa umeelewa next time ufanye nini!
ona maskini..ulitegemea kupata pozeo la moyo JF, badala yake tunakuvuruga sawasawa!
Wengine nao wapate somo-kuna ethics ya kutumia simu! next time ntakupa somo juu ya hili!
pole sana!

Leo nilikuwa na shida fulani. Nikamuuliza rafiki yangu mmoja anisaidie akasema kuna mdada anaweza kunisaidia. Akanipa namba ya huyo mdada. Hanifahamu wala mimi simfahamu. Jioni hii nikamtext. Conversation ilikuwa kama ifuatavyo:

MIMI: Mambo?
Reply: Poa
MIMI: Upo wapi?
Reply: Kwani we nani?
MIMI: I am ................... I would like to meet you.
Reply: Em niache!
MIMI: Ok fine!You gotta deny the message rather than a call. Good evening!

Wana MMU mnisaidie. Sijaongea chochote ila majibu yalikuwa kama hayo hapo juu.

Nimeboreka. Yaani kaniharibia siku!

We jamaa u na shda sasa ulitakaje au umezoea miteremko ya magubegube? kiukweli kakupa kinachostahili, kuwa mstaarabu siku nyingne unamuomba aliekupa namba ya simu akutambulishe kwa kumpigie na kukutanisha kisimu walau kumpa jina lako na hata namba ya simu, kwa pole na sku isiwe mbaya kwani wewe ndo umekosea!
 
Upuuzi tu! Vinginevyo ulikuwa na 'hamu' ya kuanzisha thread...hongera anyway!.
 
Kwani ulikuwa na shida gani na huyo dada mpaka ukapewa namba yako na kuanza kuwasiliana naye???

Kifupi hakuna duka linalouza uzoefu au ustaarabu.
 
Dada kafahy vizuri tu, kuna matapeli wengi wanapata namba za watu na kuanza kuwasunbua. Busara ilikuwa rafiki aliyekupa namba awasiliane na dada na akikubali namba yake itolewe ampe na jina lako halafu upige sio kutuma sms.
 
matapeli kibao mji huu, dada hajakosea. La sivyo angejikuta kaachwa mabwepande bila kujua kafikaje.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom