Hawa jamaa nadhani sasa wamezidi.wape lekwe kwa mahakama.
Kwani hili ni neno kwa kitanzania maana yake nini? Naomba jibu... si ngonjera please!!Jinyee haina maana china kama iliyo nayo Tanzania!
nani alikudanganya kuwa hizo pikipiki zilitengenezwa kwa ajili ya watanzania!!Kwani hili ni neno kwa kitanzania maana yake nini? Naomba jibu... si ngonjera please!!
Hivi tukianza kuandika Kijapan hapa na kukitafsiri kwa Kiswahili si wengine tutaambulia BAN tu...
Mathalani, hebu mtu mmoja amalizie hii,
1. INAWASHA KU..MOTO
2. CHOKO
Usambazaji na utengenezaji wa bidhaa lazima uzingatie utamaduni wa watu!Jinyee haina maana china kama iliyo nayo Tanzania!
unauhakika ilitengenezwa kwa ajili ya matumizi ya watanzania!!ni nani aliyeziingiza nchini?ni mchina au wafanyabiashara wa Tanzania ambao hawakuona kuwa hilo jina si tatizo!mimi kama mzalishaji wa biashara siwezi kufanya business analysis ulimwengu wote ili nijue nitengeneze bidhaa kufiti walaji wote duniani,hakika itakuwa ngumu!aliye import hiyo ndo aulizwe!Usambazaji na utengenezaji wa bidhaa lazima uzingatie utamaduni wa watu!