SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,225
- 9,916
Fast food aka hutakiwi kukaa kusubiria Chakula. KFC ni fast food restaurant, vitu vinawekwa spice na kila kitu vinakaa kwenye fridge vinasubiria order vinaonjeshwa mafuta unakula.Naomba msaada wa hili .
Ukienda mfano bar au mgahawa unasikia harufu za kupikwa za vyakula na pia asubuhi namapema unaonavitu vinaletwa soda , maji, na vyakula vibichi. Ili vipikwe .
Ila ukienda KFC HUONI CHOCHOTE KILICHOPIKWA WANATOA TU KWENYE TREI ZAO MNACHUKUA . ILA KUONA WANAVYOPIKWA HAKUNAGA .
nyie hamshtuki??
Msaada
Sema suu nikutajieπMkuu majiko yao yapo na yapo chumba special ila nadhani kwenye majiko yao wana kile kifaa cha kutolea harufu/moshi nje, kuna jina fulani la huo mfumo ila nmesahau.
Huku ukusikia mpeleekee fundi maiko supu na chapati tatu,Hapo unataka kuona mpishi ametoka jikoni jasho linamtiririka.
Amekaa kwenye kiti anakunywa Pepsi.
Unataka kuona mdada anaosha vyombo vichafu
Unataka kuona wamewekwa kwenye beseni kubwaa wanachanganya na viungo.
Wewe endelea kula huko huko kwa mama ntilie. KFC, Macdonald, tuachie sisiNaomba msaada wa hili .
Ukienda mfano bar au mgahawa unasikia harufu za kupikwa za vyakula na pia asubuhi namapema unaonavitu vinaletwa soda , maji, na vyakula vibichi. Ili vipikwe .
Ila ukienda KFC HUONI CHOCHOTE KILICHOPIKWA WANATOA TU KWENYE TREI ZAO MNACHUKUA . ILA KUONA WANAVYOPIKWA HAKUNAGA .
nyie hamshtuki??
Msaada
Saratani za baadae hizo watu wapige helaNaomba msaada wa hili .