chuse da silva Member Joined Nov 27, 2013 Posts 35 Reaction score 15 Mar 21, 2016 #1 Nina laptop aina ya samsung notebook nlikuwa cjaiwasha kwa muda wa mwaka mzima . Sasa jana nliwashaa ikawaka vzuri tu lakin keyboard imegoma ku type naombeni msaadaa wenu wadau nifanyeje Natanguliza shukuran
Nina laptop aina ya samsung notebook nlikuwa cjaiwasha kwa muda wa mwaka mzima . Sasa jana nliwashaa ikawaka vzuri tu lakin keyboard imegoma ku type naombeni msaadaa wenu wadau nifanyeje Natanguliza shukuran