Keyboard ya laptop hp 550 inahitajika

kajiti

Member
Oct 19, 2011
59
7
Nahitaji keyboard ya laptop hiyo. Nipo Moshi. kama unayo au unafahamu wapi nitapata kwa arusha au Moshi, nifahamishe bei na ulipo.
 
Nahitaji keyboard ya laptop hiyo. Nipo Moshi. kama unayo au unafahamu wapi nitapata kwa arusha au Moshi, nifahamishe bei na ulipo.
je ni kama hii.Hiyo keyboard ninayo tuwasiliane.
 
Attachments

  • hp 500.jpg
    hp 500.jpg
    22.7 KB · Views: 73

Similar Discussions

Back
Top Bottom