fisadimpya
Senior Member
- Oct 27, 2011
- 191
- 103
Msaada wadau za hiyo kitu
Nimekupm the lisence key! Usisahau kuleta feedback!also have the same problem -emai ( stanpazza@yahoo.com)
Mkuu hii ni Commercial lisence sio rahisi kublokiwa na hvyo hatuiexpose.. Ata mwaka jana nlgawa key ya mwaka moja ya commercial kama watu 30 hivi.. Ikatumika mpaka the last day bila kublokiwa ata hvyo njia zko nyng kuwaweza hawa ntakuja na kav na kis trial resetter 2012 apa jamvini soon iyo itakuwa bomba kwa wanaotumia kis version 2012 coz sina key kwa ajili yaowadau tuwaachie wenye shida kweli na hii kitu maana kila mtu akitaka mwisho wa siku wote mtakosa, karpesky wako stingy sana hiyo lisence ikiwa misused ni rahisi kwao kugundua
Mkuu hii ni Commercial lisence sio rahisi kublokiwa na hvyo hatuiexpose.. Ata mwaka jana nlgawa key ya mwaka moja ya commercial kama watu 30 hivi.. Ikatumika mpaka the last day bila kublokiwa ata hvyo njia zko nyng kuwaweza hawa ntakuja na kav na kis trial resetter 2012 apa jamvini soon iyo itakuwa bomba kwa wanaotumia kis version 2012 coz sina key kwa ajili yao

dah hii avator yako ni kibokoGoog idea boss.
Ila kuna trial reseter nilitumia kwenye version 2012, ikareset. Ila tatizo lilikuja kujitokeza wakati wa ku update, ilikataa. So, sina hakika fault ilikuwa wapi.
Ok ulitumia steps zp? Naulivo reset trial ulikumbuka ku activate trial tena?Goog idea boss.
Ila kuna trial reseter nilitumia kwenye version 2012, ikareset. Ila tatizo lilikuja kujitokeza wakati wa ku update, ilikataa. So, sina hakika fault ilikuwa wapi.
Ok ulitumia steps zp? Naulivo reset trial ulikumbuka ku activate trial tena?
Ni kaspersky Antivirus 2012? Kama ndo iyo naweza kufanyia mpango wa commercial valid lisence ambayo inasiku kama 300 na mpaka iexpire kama ndo iyo nijulishe nkupm na iyo lisence key. But nakupa tahadhari DO NOT EXPOSE IT! sana sana sehem wazi au ambapo google anaweza kuiona ni hayo tu.
PowerComputers wanauza hizo antiviruses,
Licence ya 3 PCs ni 38,000/=...
Wanapatikana Elia Complex, Zanaki/Bibi Titi Rd!!