Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
Wadau nna muda mrefu sijasikia kesi za kukamatana Ugoni na kufungishana ndoa za mke ebu tuambiane hali ilivyo huko kitaa kwako
ha haa kwani huyo atakae kufumania atakuwa masikini au....Pesa yako tu
Utafumaniwaje kiboya wakati una hela,na hata ukifumaniwa unatoa pesa mchezo kwisha. Hauna hela tigo inahusika(kwa mwanaume. Kwa mwanamke kipondo kikali kinahusika,nywele ananyolewa kwa kipande cha chupa nakadhalika)
Ndoa ya mkeka inaepukika kwa hela unatuliza wazee kwa ka hela kidogo huku unajichukulia binti kwa ahadi ya ndoa mbeleni.
ha haa kwani huyo atakae kufumania atakuwa masikini au....
Mahari ni mtaji mkuu.Watu hawataki kuozesha bure bure nw ndio maana husikii ndoa za mkeka
sasa mbona matajiri ndio wanao ongoza kwa kuchapiaMwenye nacho huongezewa,tajiri anapoozwa kitajiri, maskini anapoozwa kimaskini.
sasa mbona matajiri ndio wanao ongoza kwa kuchapia
Mahari ni mtaji mkuu.
yamekua hayoKwahiyo naww umeshajiwekea thamani ya mtaji wako?!
yamekua hayo
Watu hawataki kuozesha bure bure nw ndio maana husikii ndoa za mkeka