Baadhi ya kesi za kubaka Tanzania zinaweza kuwa za mchongo sana tuwe makini vijana ,ukiona kijana mwezako yamemkuta usifurahie mara nyingi tumezungukwa na watu wabaya sana mitaani .
Toa mfano. Kuna vijana walifanya hayo matukio na walijirekodi kabisa. Na wenyewe walibambikiwa? Ukatili kwa wanawake/watoto wa kike na kiume, haukubaliki.