Kesi za jinai kwa wafanyakazi na mustakabali wa ajira

Nimeona niilete hii mada kwenye jukwaa hili kwakuwa wafanya maamuzi wengi wapo humu. Sheria ya utumishi wa umma inatoa mwongozo kwamba mtu ambaye alifutwa utumishi kwa sababu mbali mbali haruhusiwi kuwania nafasi nyingine kwenye utumishi wa umma.

Swali linakuja kwa wale walipatikana na kesi za jinai mfano ubadhirifu wa Mali za umma au makosa mengine ya jinai ambayo kimsingi mlalamikaji mkuu ni jamhuri, wanapopigwa pini la kuajiriwa tena kwenye utumishi wa umma, naona kuna double standards hapa.

Hasa ukiangalia wakuu wengi wa vyombo vya umma ambao wallipatikana na kesi za jinai na wengine wakafungwa kanisa mfano kule kwenye lile shirika la ngwichi, lakini baadae wkarudishwa wote kwenye nafasi zile zile, na kuna viongozi wengine wa kisiasa ambao walifungwa na bado wakaruhusiwa kugombea nafasi zile zile na wengine wakapata teuzi nono kabisa hii naona haijakaa sawa.

Naomba kuwasilisha hoja yangu.

Pengine ulichoandika na ulichokuwa umekusudia kuandika havijaoana. Mimi sioni hoja ya kujadili; naona malalamiko!
 
Nimeona niilete hii mada kwenye jukwaa hili kwakuwa wafanya maamuzi wengi wapo humu. Sheria ya utumishi wa umma inatoa mwongozo kwamba mtu ambaye alifutwa utumishi kwa sababu mbali mbali haruhusiwi kuwania nafasi nyingine kwenye utumishi wa umma.

Swali linakuja kwa wale walipatikana na kesi za jinai mfano ubadhirifu wa Mali za umma au makosa mengine ya jinai ambayo kimsingi mlalamikaji mkuu ni jamhuri, wanapopigwa pini la kuajiriwa tena kwenye utumishi wa umma, naona kuna double standards hapa.

Hasa ukiangalia wakuu wengi wa vyombo vya umma ambao wallipatikana na kesi za jinai na wengine wakafungwa kanisa mfano kule kwenye lile shirika la ngwichi, lakini baadae wkarudishwa wote kwenye nafasi zile zile, na kuna viongozi wengine wa kisiasa ambao walifungwa na bado wakaruhusiwa kugombea nafasi zile zile na wengine wakapata teuzi nono kabisa hii naona haijakaa sawa.

Naomba kuwasilisha hoja yangu.
...Kwa Mfano nani??...Toa mifano hai...
 
Kwa Mtumishi wa serikali ni rahisi kufukuzwa kazi (ajira kuota nyasi)
 
Back
Top Bottom