Ajira za wahudumu wa treni ya SGR zilitangazwa wapi?

James_patrick_

Senior Member
Mar 20, 2017
106
194
Ajira za kuwapata hawa wafanyakazi wa sgr zilitangazwa wapi jaman?tuna dada zetu mavyeti yanaoza ndani..utani huo mnaleta.

FB_IMG_1709028707945.jpg
 
Kuna kipindi mwaka juzi kama sijakosea walitangaza nafasi za ajira kwa wapakua mizigo na wahudumu. Zilikuwa karibu nafasi 100+ vijana wakawa wanasema ni nafasi za ukonda.
 
Back
Top Bottom