Kesi ya vinega

Kesi ya vinega

mtengwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
1,603
Reaction score
871
Leo mida yaa saa 7 mchana, mahakamani kisutu shauri ya kesi iliyofunguliwa na Joseph Kusaga (clouds entertainment) dhihi ya Mapacha ( Vinega). VINEGA wote na wapenda harakati za Anti virus, kama vipi tutokee kwa wingi kuonyesha support. WITH NO APOLOGY
 
Kwa faida ya wale tusiokuwa na taarifa ya hili tukio unaweza kutoa ufafanuzi, ni akina nani wanaoshitakiwa i mean majina yao na ni mashitaka gani hayo?
 
Kwa faida ya wale tusiokuwa na taarifa ya hili tukio unaweza kutoa ufafanuzi, ni akina nani wanaoshitakiwa i mean majina yao na ni mashitaka gani hayo?

wanaoshitakiwa ni doctor K na D wa mapacha
 
Vinaga watashinda nguvu ya umma ipo imara.

unajua mashtaka yao?...unajua mfungua mashtaka alijiandaa vipi?..hahahahaha..subiria tusiwe mashabiki
 
Hv maana ya hilo jina vinega ni nini?

ni aina ya ndege ambae hupenda kuruka juu angani pasi kuonekana na pindi ashukapo chini na kuonekana basi ujue kuna jambo

ila kwa wahusika wanalitumia kama wabishi fulani hivi wasiokubali kushindwa,watetezi wa haki ktk jamii iliyodhurumiwa hiyo ndiyo maana halisi ya hilo neno
 
Back
Top Bottom