Kesi ya Uhujumu Uchumi ya Kina Kitlya imefutwa?

Gamba la Nyoka

JF-Expert Member
May 1, 2007
7,022
9,292
Nimepata taarifa kwamba kesi ile ya uhujumu uchumi wa aliyekuwa kigogo wa TRA Kitilya na wenzie imefutwa hapo jana, Je taarifa hizi ni kweli?

Naona media macho yote yalikuwa kwa ishu ya madawa, wakasahau kumulika kule!!!!
 
Sina uhakika na hilo wenye habari kamili watatujuza, lakini toka washtakiwa wa EPA waachiwe karibia wote, hili nalo linaweza kuwa kweli.
 
Kwa utawala huu wa ccm hiyo siyo habari, wote tulitegemea wataachiwa kwa hiyo hakuna jipya hapo
 
Hivi kwenye hiyo kesi (iwe imefutwa au la) kuna mtu alitegemea mtu kufungwa pale kweli? Waliokamatwa na kuwekwa mahabusu and then kupelekwa mahakamani ni watu ambao ni very Jr; mkopo wa nchi toka Stanbick bank halafu umkamate meneja mahusiano wa bank while managing director, director of finance waachwe but again waziri wa fedha (mkopaji) na gavana wa bank kuu waachwe? Please, give a break. Hi vita ya ufisadi tunayo ambiwa sio vita hasa, kuna watu tu wanatafutwa either kwa chuki au visasi.
 
Back
Top Bottom