GE2025 Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu yaahirishwa hadi Oktoba 6, 2025

GE2025 Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu yaahirishwa hadi Oktoba 6, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Wakili Deogratias Mahinyila aliye upande wa jopo la Mawakili wa Tundu Lissu na Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA Taifa (BAVICHA) akiongea na Wanahabari nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar Es Salaam amesema mapingamizi yaliyowekwa na Lissu yametupiliwa mbali, kesi ya msingi ikaendelea ndipo Lissu alipowataja mashahidi wake 15 akiwemo Rais Samia Suluhu, kesi hiyo imeahirishwa hadi Oktoba 06, 2025.

 
Na siku wakimuachia wamlipe kwa muda wote waliomsweka bila sababu waache upuuzi.
 
Na atawanyoosha mpaka wakome. Lete mashahidi wote 15 wapigwe maswali na mshtakiwa.
 
Lissu alipowataja mashahidi wake 15 akiwemo Rais Samia Suluhu, kesi hiyo imeahirishwa hadi Oktoba 06, 2025.

Oktoba 6 , 2025 inakaribia.
Hakika mambo ni mengi, watawala watazidi kukosa usingizi huku wakiwa wamevaa viatu, Passports mfukoni ili kama ikibidi wanachomoka

Criminal Case No. 19605 / 2025: Republic vs Tundu Lissu.
06 October 2025


Before the High Court in Dar es Salaam, Tanzania . The treason case will continue against Tundu Antipas Lissu, a prominent Tanzanian politician and lawyer, under Criminal Case No. 19605/2025. presided over by a panel of three high court judges led by Justice Dunstan Ndunguru.
 
Back
Top Bottom