Kesi ya Tundu Lissu

Kesi ya Tundu Lissu

Kwa hbr za ndani CCM wanataka kutoa Lissu madaraki. Ngoja tusikie manake nia yao ni Lema na Lissu tu.
 
Kuna rafiki yangu mkubwa huko serikalini wiki tatu zimepita aliniambia kwa kiburi kwamba Lema,Lissu Mnyika watapigwa chini ,kwa hiyo tutegemee the worse,tayari alikuwa anatamba kwamba na chaguzi zikirudiwa watashinda kwa kishindo aliniambia eti Lissu ni mwehu alishalawzwa Milembe
I hate CCM and her government
 
Back
Top Bottom