Kimbesa11
JF-Expert Member
- Sep 6, 2015
- 4,652
- 2,696
Ndugu Watanzania wenzangu, linapokuja swala la Amani ya Taifa letu tusichukulie poa, tuwakemee watu wote wenye vimelea vya kuleta vurugu nchini mwetu, hii amani tuliyo ni utajiri tosha, tuepuke upotoshaji.
Waasisi wetu walituachia amani, tuendelee kuilinda kwa uzalendo mkubwa, navipongeza vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama kwa kuendelea kuilinda amani yetu kwa udi na uvumba huu ni uzalendo mkubwa.
NAdhani Lissu kwasabu familia yake haipo nchini Ina Uraia wa Marekani akaona hana Cha kupoteza nchini kwahyo anaweza kufanya lolote huko ni kujidanganya serikali yetu ipo macho hailali tutii Sheria zetu, amani yetu haichezewi amani yetu italindwa kwa mujibu wa Katiba yetu.
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu wabariki viongozi wetu
Mungu Ibariki Africa.