Kama tunavyojua Sheikh Ilunga alikamatwa Tabora na si kama ilivyo kawaida anapokamatwa kiongozi wa kiislam. safari hii imetumika staili ya kizenzi, kakamatwa tabora na kaambiwa anahitajika mwanza aende mwenyewe. Na baada ya kufika mwanza kafunguliwa mashtaka ya uchochezi.
Naam, Yupo kitaa na kesi imeahirishwa hadi januari 6 kutokana na ushahidi haujakamilika
Ushahidi haujakamilika au hana kesi ya kujibu kwa uchochezi. Kwa mujibu wa kauli yake alikuwa anatamani sana afunguliwe kesi hiyo ya uchochezi ili jamii ipate maana halisi ya uchochezi. na jamii ijue iwapo kusema ukweli ni uchochezi? au kuwa na fikra mbadala nje ya siasa au tofauti na watawala ni kosa? Na kwanini watu wamuhukumu kwa kumuelewa vibaya alisisitiza.
Mwisho anaamini hana kesi ya kujibu zaidi polisi kufunika kombe na kuwaridhisha jamii kuwa serikali inafata misingi ya utawala bora na kufumbia mambo uhuru wa kuongea uliopo.
Huyu kilaza ni mchochezi wa kutisha
Ustadh Ilunga Hassan - Mauaji ya shahid Aboud Rogo na Unafiki katika sensa Part 1 - YouTube
Huyu kilaza ni mchochezi wa kutisha
Ustadh Ilunga Hassan - Mauaji ya shahid Aboud Rogo na Unafiki katika sensa Part 1 - YouTube
Alipitia dubai akitoka india alipopelekwa kutibiwa na dola badala ya kukamatwa. Huko dubai amejazwa mihela na wafadhili wa ugaidi. Ukiwa na mihela polisi gani tz anaweza kukukamata? Halafu anaonyesha jeuri na kejeli kwani kueleza ukweli kwake ndio hizo kashfa na kejeli kwa imani ya wengine. Ilunga hatambui wala haheshimu uhuru wa wengine kuabudu dini yao na dola inamtazama. Uvumilivu una mwisho.Kama tunavyojua Sheikh Ilunga alikamatwa Tabora na si kama ilivyo kawaida anapokamatwa kiongozi wa kiislam. safari hii imetumika staili ya kizenzi, kakamatwa tabora na kaambiwa anahitajika mwanza aende mwenyewe. Na baada ya kufika mwanza kafunguliwa mashtaka ya uchochezi.
Naam, Yupo kitaa na kesi imeahirishwa hadi januari 6 kutokana na ushahidi haujakamilika
Ushahidi haujakamilika au hana kesi ya kujibu kwa uchochezi. Kwa mujibu wa kauli yake alikuwa anatamani sana afunguliwe kesi hiyo ya uchochezi ili jamii ipate maana halisi ya uchochezi. na jamii ijue iwapo kusema ukweli ni uchochezi? au kuwa na fikra mbadala nje ya siasa au tofauti na watawala ni kosa? Na kwanini watu wamuhukumu kwa kumuelewa vibaya alisisitiza.
Mwisho anaamini hana kesi ya kujibu zaidi polisi kufunika kombe na kuwaridhisha jamii kuwa serikali inafata misingi ya utawala bora na kufumbia mambo uhuru wa kuongea uliopo.
Ukweli gani kwa mambo ya imani ya dini? Watu mkiitwa vilaza mnachukia,... Hivi ukweli wa imani yako ya dini inawezaje kua ukweli kwa mtu wa imani ya dini tofauti kama sio kutafuta ugomvi tu! Kwa tafsiri yoyote ilunga ni mchochezi na alitakiwa awe jela. Hii serikali ya ccm inayowalea wanaotafuta riziki kwa kukejeli imani za wengine kama ilunga itakuja lipa deni kubwa amani itakapopotea.Kusema ukweli ndio uchochezi? Mwache aongee ana uhuru
Huyu kilaza ni mchochezi wa kutisha
Ustadh Ilunga Hassan - Mauaji ya shahid Aboud Rogo na Unafiki katika sensa Part 1 - YouTube
Ukweli gani kwa mambo ya imani ya dini? Watu mkiitwa vilaza mnachukia,... Hivi ukweli wa imani yako ya dini inawezaje kua ukweli kwa mtu wa imani ya dini tofauti kama sio kutafuta ugomvi tu! Kwa tafsiri yoyote ilunga ni mchochezi na alitakiwa awe jela. Hii serikali ya ccm inayowalea wanaotafuta riziki kwa kukejeli imani za wengine kama ilunga itakuja lipa deni kubwa amani itakapopotea.[/
QUOTE]
Huna hoja zaid ya kutoa povu tu
Acha chuki wewe!!!!!
Alipitia dubai akitoka india alipopelekwa kutibiwa na dola badala ya kukamatwa. Huko dubai amejazwa mihela na wafadhili wa ugaidi. Ukiwa na mihela polisi gani tz anaweza kukukamata? Halafu anaonyesha jeuri na kejeli kwani kueleza ukweli kwake ndio hizo kashfa na kejeli kwa imani ya wengine. Ilunga hatambui wala haheshimu uhuru wa wengine kuabudu dini yao na dola inamtazama. Uvumilivu una mwisho.
Kile ni kichwa hakina mfano kijana, hana papara na mambo anajitambua na mpenda hakibila kusahau amani.
Huyu kilaza ni mchochezi wa kutisha
Ustadh Ilunga Hassan - Mauaji ya shahid Aboud Rogo na Unafiki katika sensa Part 1 - YouTube
Kile ni kichwa hakina mfano kijana, hana papara na mambo anajitambua na mpenda hakibila kusahau amani.
Kusema ukweli ndio uchochezi? Mwache aongee ana uhuru
Wewe ndie kilaza usiye na hoja bali umejawa na chuki kubwa juu ya uislam!
nashangaa sijui.kwanini wanamlea huyu gaidi... ushahidi mbona mwingi sana. hata youtube umejaaa.
...Hii serikali inalea magaidi
nashangaa sijui.kwanini wanamlea huyu gaidi... ushahidi mbona mwingi sana. hata youtube umejaaa.
...Hii serikali inalea magaidi
Slaa ndio mchochezi aliesema NCHI HATOTAWALIKAKusema ukweli ndio uchochezi? Mwache aongee ana uhuru