data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,175
- 22,752
Dawa ya deni ni kulipa, Vinginevyo tumshawishi Rubani Mapunda afanye uzalendo kwa mara nyingine ..😀
Hahaaa
Dawa ya deni ni kulipa, Vinginevyo tumshawishi Rubani Mapunda afanye uzalendo kwa mara nyingine ..😀
Mkuu awamu hii kila lisilowezekana litawezekana, hukuona jiwe alimpa kitita cha 10 million?😂..Ndege sio kama gari kwamba utaangalia mbele ukate kona bali inaongozwa na watu wa tower waliopo ardhini kumwambia aende juu kiasi gani ili asigongane na ndege zingine sasa ataruka vipi wakati hatopewa ushirikiani
Mungu Ibariki CCM.Mungu ibariki Tanzania
P
Ni kesi au ni kuwasilisha malipo ya anayetudai ?Kesi ya ndege ya ATCL ambayo inashikiliwa nchini Afrika ya kusini inaanza kusikilizwa leo.
Serikali ya Tanzania imetuma mawakili mahiri kwenda nchini humo kuiwakilisha kwenye utetezi wake.
Source Mtanzania
Mungu ibariki Tanzania!
Dawa ya deni ni kulipa, Vinginevyo tumshawishi Rubani Mapunda afanye uzalendo kwa mara nyingine ..
Hahahaa.....umemsikia Chalamila lakini kuhusu vibaka wa huko kwenu!Ni kesi au ni kuwasilisha malipo ya anayetudai ?
kinachohitajika kule si mawakili mahiri; kinachohitajika ni kulipa deni.Kesi ya ndege ya ATCL ambayo inashikiliwa nchini Afrika ya kusini inaanza kusikilizwa leo.
Serikali ya Tanzania imetuma mawakili mahiri kwenda nchini humo kuiwakilisha kwenye utetezi wake.
Source Mtanzania
Mungu ibariki Tanzania!
Hamna haja hata ya kupeleka wanasheria waliobobea kwa kuwa suala liko straight forward. Mwanasheria wa Steyn Roger Wakefield anasema ndege itaruhusiwa tu ikiwa deni litalipwa au dhamana ya benki itawekwa. Nanukuu hapa kwa maneno yake;Kesi ya ndege ya ATCL ambayo inashikiliwa nchini Afrika ya kusini inaanza kusikilizwa leo.
Serikali ya Tanzania imetuma mawakili mahiri kwenda nchini humo kuiwakilisha kwenye utetezi wake.
Source Mtanzania
Mungu ibariki Tanzania!
.MI NASHAURI HILI
MAWAKIL WA SERIKAL WAKUBALI KULIPA DENI ALAFU ATCL WAFUNGUE KESI DHIDI YA ALIETOA AGIZO LA KUKAMATA NDEGE HIYO , WADAI FIDIA YA NDEGE HIYO KUYOFANYA SAFARI ZAKE , WAWAPIGIE HESA ROOT ZA KWENDA SAUZ IKIWA IKOFULL SIT, KUNA WAHUDUMU WANALIPWA, KUNA WAOSHAJI WANALIPWA KILA IKIRUDI, KUNA MAFUNDI WANAOLIPWA KWA KUIKAGUA NA SERVICE, HUO MUDA IPO UKO. ATCL IDAI FIDIA KUBWA KULIKO WANAOTUDAI SISI SASA HAPO IWEKE KILA SIKU IMEZUIWA BASI IWEKE DENI NA RIBA HAPO TUTAOGOPEKA MALI ZA NCHI KUKAMATWA OVYO. NA HUYU MDAI ATACHEK PESA ANALIPWA NA PESA ATALIPA ATCL NI KUBWA ZAID ATAHOFIA HASARA. 🚶🚶🚶🚶🚶🚶
Mungu mbariki mkulima apate ushindi wa kishindoMungu ibariki Tanzania
P
Mimi naamini sharti moja kubwa kuliko yote ni kurejeshewa immigration status yake na kama hajaidai hiyo basi atakuwa either stupid or he is dreading the uknown!Hamna haja hata ya kupeleka wanasheria waliobobea kwa kuwa suala liko straight forward. Mwanasheria wa Steyn Roger Wakefield anasema ndege itaruhusiwa tu ikiwa deni litalipwa au dhamana ya benki itawekwa. Nanukuu hapa kwa maneno yake;
"The farmer has been fighting for years to get the outstanding amount. He was then declared a prohibited immigrant in Tanzania on what his lawyer called “baseless grounds”, and he now lives in another East African country.
The farmer approached lawyers in South Africa, which is party to an international convention on the recognition and enforcement of foreign arbitration awards.
“Literally after decades of broken promises, promises to pay, acknowledging the indebtedness, the plaintiff was left with no option,” Wakefield said.
He said the plane was seized “to certify a long outstanding debt to the plaintiff, which the government of Tanzania has always acknowledged was owing but they just breached their undertaking”.
“The only way that the aircraft can now be released is if they pay the debt or if they put up security for the claim.”