Kesi ya mpiganaji kamanda Yericko Nyerere yaahirishwa tena

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,431
8,138
Nipo Mahakama ya Kisutu muda huu

Nasubiri kupandishwa kizimbani kuendelea na kesi yangu ya Cybercrime niliyofunguliwa kipindi cha Uchaguzi mkuu 2015..

Asante sana wakili msomi Peter Kibatala, Mungu atabariki karama yako na ataibariki kazi ya mikono yako.

UPDATES

Kesi imeahirishwa hadi 04/07/2016, sababu za kuahirishwa nikutoka na hakimu anayesikiliza kesi hii kuwa na udhuru.

Haki ya mwenye haki haijawahi kupotea, bali hucheleweshwa tu....
ImageUploadedByJamiiForums1465459139.757761.jpg
 
Huyo wakili anamtumikia shetani Mungu hawezi kumbariki hata kidogo. Huyu mtuhumiwa ikiwezakana afungwe tu maana alichochea na kuleta habari za uongo uongo ambazo zingevunja amani yetu. Kila mwenye akili atakubali kuwa watu kama hawa hawafai kuishi uraiani.
 
Nipo Mahakama ya Kisutu muda huu

Nasubiri kupandishwa kizimbani kuendelea na kesi yangu ya Cybercrime niliyofunguliwa kipindi cha Uchaguzi mkuu 2015..

Asante sana wakili msomi Peter Kibatala, Mungu atabariki karama yako na ataibariki kazi ya mikono yako.

UPDATES

Kesi imeahirishwa hadi 04/07/2016, sababu za kuahirishwa nikutoka na hakimu anayesikiliza kesi hii kuwa na udhuru.

Haki ya mwenye haki haijawahi kupotea, bali hucheleweshwa tu....
View attachment 354964

Pole Kamanda Yericko! Yepi yasiyokuwa na mwisho?
 
Shika adabu yako! Weka akiba ya maneno!!
Huyo wakili anamtumikia shetani Mungu hawezi kumbariki hata kidogo. Huyu mtuhumiwa ikiwezakana afungwe tu maana alichochea na kuleta habari za uongo uongo ambazo zingevunja amani yetu. Kila mwenye akili atakubali kuwa watu kama hawa hawafai kuishi uraiani.
 
Huyo wakili anamtumikia shetani Mungu hawezi kumbariki hata kidogo. Huyu mtuhumiwa ikiwezakana afungwe tu maana alichochea na kuleta habari za uongo uongo ambazo zingevunja amani yetu. Kila mwenye akili atakubali kuwa watu kama hawa hawafai kuishi uraiani.

Hujui ukisemacho

upload_2016-6-9_11-29-39.png
 
Kwani Yericko ndo alitumwa na chama?

Wewe umesema yule wa kesi ya Arusha ametumwa na Chama,.....sijaongelea kuhusu yericko...nimekuuliza yule wa arusha ametumwa na chama? hiko chama ni chama gani?

Yericko alikuwa kwenye timu ya CHADEMA kipindi cha uchaguzi mkuu...haukuwahi kutukana mtu......na ndio maana anatetewa na wakili wa CHADEMA.
 
Najua umeelewa niliposema watu wengine wanajitoa akili katika siasa. Na wanachofanya wafanye ni kuona wao wanatetea upinzani na kuonyesha wao ni bora zaidi. Sasa kusema nani alimtuma sina hilo kwa sababu aliandika kwenye acc. yake.
Wewe umesema yule wa kesi ya Arusha ametumwa na Chama,.....sijaongelea kuhusu yericko...nimekuuliza yule wa arusha ametumwa na chama? hiko chama ni chama gani?

Yericko alikuwa kwenye timu ya CHADEMA kipindi cha uchaguzi mkuu...haukuwahi kutukana mtu......na ndio maana anatetewa na wakili wa CHADEMA.
 
Pole sana Yericko bahati mbaya ni vigumu kuto kutwa na hatia kwa makosa yanayo kukabili! Pole sana jiandae ..
 
Nipo Mahakama ya Kisutu muda huu

Nasubiri kupandishwa kizimbani kuendelea na kesi yangu ya Cybercrime niliyofunguliwa kipindi cha Uchaguzi mkuu 2015..

Asante sana wakili msomi Peter Kibatala, Mungu atabariki karama yako na ataibariki kazi ya mikono yako.

UPDATES

Kesi imeahirishwa hadi 04/07/2016, sababu za kuahirishwa nikutoka na hakimu anayesikiliza kesi hii kuwa na udhuru.

Haki ya mwenye haki haijawahi kupotea, bali hucheleweshwa tu....
View attachment 354964
Hiyo huyo muongo huwa ana pigania nini?
 
Yaani kila anayeshabikia chadema ni kilaza, sasa ona eti huyu mtuhumiwa anaitwa kamanda! so funny! Mbowe ni kamanda, na mzee sumaye naye ni kamanda??? hahahahaha, ama kweli muunganiko wa vilaza
 
Yerico Nyerere ana mwanya kama wa Naibu Spika Tulia, bila shaka hawa ni ndugu!
 
Back
Top Bottom