Kesi ya 'mpemba' imefikia wapi?

Kesi ya 'mpemba' imefikia wapi?

TAWA

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
3,674
Reaction score
1,572
Habari wana bodi,
Nilikuwa nauliza tu kesi inayomkabili mtu ajulikanaye kwa jina maarufu la mpemba kuhusiana na ujangili imefikia wapi? Kama kuna anayefahamu muendelezo wake atujuze humu. Au bado wapo bize na Lema kule Arusha?
 
Bwana we hii ndiyo Tanzania.
Nini mpemba, kuna hawa hapa.
1. Masamaki
2. Milioni saba kwa dakika
3. Musa Naty na ishu ya coco
4. Mkurugenzi wa mishahara kumi na saba kwa mwezi
Leo serikali wanamkomalia mwalimu aliyekwenda kusoma bila ruhusa eti alipe mishahara yote aliyolipwa wakati yupo masomoni.
 
Dah! Umenikumbusha mbali sana, hivi wale waliopitisha makontena bila kodi katika ICD's wameaharudisha zile pesa zote kama ilivyoamriwa?
Kweli mwenda mbio………………
 
Watanzania tuna shida moja tu, yani pale mtu ametumbuliwa tunafurahi kweli kweli lakini hatuna haja ya kufahamu mwendelezo wake baada ya hapo
 
Ngoja wenyewe waje humu wenye maelezo yaliyonyooka
 
Hajafika mahakamaani ndio yuko njiani

Hao ndio wenye nchi achana na porojo za siasa
 
Watanzania tuna shida moja tu, yani pale mtu ametumbuliwa tunafurahi kweli kweli lakini hatuna haja ya kufahamu mwendelezo wake baada ya hapo
Tunaamini nasisi tutakuwa matajiri kwa kuwachukia matajiri kwahiyo MTU akitumbuliwa tunahisi atarudi kula kipande cha hindi la kuchoma kkoo
 
Bwana we hii ndiyo Tanzania.
Nini mpemba, kuna hawa hapa.
1. Masamaki
2. Milioni saba kwa dakika
3. Musa Naty na ishu ya coco
4. Mkurugenzi wa mishahara kumi na saba kwa mwezi
Leo serikali wanamkomalia mwalimu aliyekwenda kusoma bila ruhusa eti alipe mishahara yote aliyolipwa wakati yupo masomoni.

Masamaki alipelekwa kwa MBWEMBWEEEE
 
Back
Top Bottom