Mbona nilikuepo mahakamani na awajasema hivyo , acha kuokoteza habari. Leo niliamkia sinza pale school of law nashangaa unapo- post uongo mtu mzima kama wewe.Washitakiwa namba 1,2,3 katika kesi ya Uhujumu uchumi namba 16/2021 inayomkabili Freeman Mbowe wamekubali Kuwa walikuwa waajiriwa wa JWTZ na waliwahi kufanya Kazi kama makomando na baadae kufukuzwa Kazi kwa sababu za kinidhamu. Pia wamekiri Kuwa wanafahamiana kwani waliwahi kufanya Kazi Pamoja kikosi Cha Ngerengere mkoani Morogoro.
Watetezitv
picha imeungua kivipi kwa hao watu kusema ukweli, watu hufukuzwa kazi kwa sababu mbali mbali, watu wengi wanafahamia, kile tunasubiri ni ushahidi toka kwa dpp ya kuwa walitenda kile wanasitakiwa nacho PERIOD, mengine porojo tuWashitakiwa namba 1,2,3 katika kesi ya Uhujumu uchumi namba 16/2021 inayomkabili Freeman Mbowe wamekubali Kuwa walikuwa waajiriwa wa JWTZ na waliwahi kufanya Kazi kama makomando na baadae kufukuzwa Kazi kwa sababu za kinidhamu. Pia wamekiri Kuwa wanafahamiana kwani waliwahi kufanya Kazi Pamoja kikosi Cha Ngerengere mkoani Morogoro.
Watetezitv
Nchi mgumu sana hiimateso ya Sabaya
Akili zako kama za mama sululuWashitakiwa namba 1,2,3 katika kesi ya Uhujumu uchumi namba 16/2021 inayomkabili Freeman Mbowe wamekubali Kuwa walikuwa waajiriwa wa JWTZ na waliwahi kufanya Kazi kama makomando na baadae kufukuzwa Kazi kwa sababu za kinidhamu. Pia wamekiri Kuwa wanafahamiana kwani waliwahi kufanya Kazi Pamoja kikosi Cha Ngerengere mkoani Morogoro.
MASHAHIDI WA MBOWE WALINDWE
Upande wa utetezi katika kesi inayomkabili Freeman Mbowe umesema utatumia mashahidi wafuatao akiwemo aliyewahi Kuwa mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya, IGP Simon Sirro na Tumaini Chacha ambaye ni mke wa mshitakiwa Hassan Bwire Hassan. Wengine 4 ameomba Mahakama iwalinde Ili asitaje majina au anuani zao.
Chanzo: Watetezi TV
⌚💯 ni Shetani huyu hana jipyaAkili zako kama za mama sululu
Acha kucheza na dude linaitwa serikaliNani katengeneza hii movie?
picha imeungua kivipi kwa hao watu kusema ukweli, watu hufukuzwa kazi kwa sababu mbali mbali, watu wengi wanafahamia, kile tunasubiri ni ushahidi toka kwa dpp ya kuwa walitenda kile wanasitakiwa nacho PERIOD, mengine porojo tu
Watetezi Tv ndio takataka gani Tena hiyo?Washitakiwa namba 1,2,3 katika kesi ya Uhujumu uchumi namba 16/2021 inayomkabili Freeman Mbowe wamekubali Kuwa walikuwa waajiriwa wa JWTZ na waliwahi kufanya Kazi kama makomando na baadae kufukuzwa Kazi kwa sababu za kinidhamu. Pia wamekiri Kuwa wanafahamiana kwani waliwahi kufanya Kazi Pamoja kikosi Cha Ngerengere mkoani Morogoro.
MASHAHIDI WA MBOWE WALINDWE
Upande wa utetezi katika kesi inayomkabili Freeman Mbowe umesema utatumia mashahidi wafuatao akiwemo aliyewahi Kuwa mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya, IGP Simon Sirro na Tumaini Chacha ambaye ni mke wa mshitakiwa Hassan Bwire Hassan. Wengine 4 ameomba Mahakama iwalinde Ili asitaje majina au anuani zao.
Chanzo: Watetezi TV
Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli na mateso ya Sabaya haitawaacha salama Chadema.
Alimtukanaje mkuu??Mbowe nilikuheshimu sana lkn kumtukana hayati magufuli sitakuhurumia tena