Kesi ya mauaji ya Mfanyabiashara wa madini Mtwara inaendeleaje?

Kesi ya mauaji ya Mfanyabiashara wa madini Mtwara inaendeleaje?

Marco Polo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
13,436
Reaction score
21,449
Kijana inasemekana aliuwawa na maa afsa wa Jeshi la polisi ambao wengi walikamatwa na kufunguliwa mashtaka mahakamani.

Napenda kujua hii kesi iliishia wapi maana sijisikii ikiripotiwa sehemu yeyote.
 
Kesi Inaendelea,
Lakini Baadaye Itapigwa Surrat~Zubaa Wataachiwa Huru Hao
 
Hutaki haki itendekeke wewe ungejua hatua iliyo fikiwa kuwa serious na mambo serious acha utoto
 
Back
Top Bottom