Si umerudi pale pale tulipoanzia mwanzo? Umewahukum masheikh wa watu kwa kuwatuhum tuhuma nzito nzito...nikasema tuache vyombo husika vifanye kazi zao. Nikakuuliza unauhakika hawa wanahusika na tuhuma zote zimeandikwa hapo juu?
Bora unstambua kwamba hakimu wa kweli na anaetoa haki ni Mungu pekee.
Ukweli uliopo kwenye mahakama zetu ni kwamba, unatafutiwa kosa, hata kwa kulazimisha. Unawekwa ndani halafu upelelezi unaendelea. Kwa vile hukufanya hilo kosa, upelelezi haukamiliki hadi mtuhumiws anakufia mahabusu!
Usalama ndio wanajua
Mkuu saivi acha watoke maana muda waliokaa ndani washajifunzaWaendesha mashtaka Mungu atawalipa kwa dhulma wanayofanya dhidi ya hao masheikh. Na wale waliowaweka ndani kama ni waislamu ama wasio waislamu Allah atawalipa kwa dhulma hiyo. Acha waendelee kula bata na familia zao huku masheikh wakiteseka gerezani.
Kama usalama ndio wanajua, why ninyi wananchi muwatuhumu wao ni magaidi, na wengine kung'ang'ana wasitoke!!! Hamuoni kuwa mnakosea!!!!
Kwa hiyo unataka hao waalimu wa kuchinja binaadamu waachiwe wakaendeleza chinja chinja yao huko Cabo del gardo sio?Jamhuri !
Wamewekwa kama utaratibu wa watuhumiwa wengine wanavyowekwa.
Sitegemei kuona akilaumiwa JK, Urais ni taasisi ikiwemo vyombo vya Ulinzi na Usalama.
We M..k.n..d.. kweli kweli, au kwa kuwa kule Mtwara kijiji cha Kitaya hauna ndugu huko!! watu wamechinjwa kama kuku halafu wewe unaleta u maku wako hapa!!Tanzania hakuna ugaidi, na hakujawai tokea matendo ya kigaidi, vyombo vya ulinzi vipo makini, na kingine asili ya watanzania ni waoga na wanyenyekevu, hao masheikh issue yao walikuwa wanapinga muungano, na serikali imeapa kuulinda muungano kwa namna yoyote ile
Peni inaogopwa popote duniani na dictator...usiichezee peni ,balaaa lake silakitotoNazani jibu ni wakati ambao mwenyewe unaona jinsi kesi inavyokwenda haraka kutoka kwenye utawala ambao ulikataa hata waandishi wa habari kuandika muendelezo wa kesi
Mahubiri yao yalikuwa na Nia ovu Sana Hawa sio wa kuonea hurumaKatika moja ya matendo maovu na kuvunja kaki za binadamu yaliyokuwa yanafanywa na utawala wa huko nyuma ni Haya, Yaani mtu unateswa na kupewa kifungo hata kabla mahakama haijakuhukumu, HILI NI KOSA KUBWA SANA NA KWA MAUMIVU WALIYOYAPATA HAWA, MUNGU AWEZA TOA HUKUMU MBAYA KWA WALIOSABABISHA MATESO HAYA, FIKIRIA RUMANDE MIAKA 8, HII HAIPO MAHALI POPOTE DUNIANI HATA GUANTANAMO BAY YA MAREKANI HAIJAIFIKIA
Mijitu myeusi ni shida!dini siyo yako nawe umeipokea tu unajifanya kuwa mwarabu mweusi kindaki ndaki! shame! shame!on you the black face.Nenda high Court peleka uho ushaidi kwa jamuhuri, mnatamani uislamu usingekuwepo nadhani
makalio wwMijitu myeusi ni shida!dini siyo yako nawe umeipokea tu unajifanya kuwa mwarabu mweusi kindaki ndaki! shame! shame!on you the black face.
siku moja utajutia hii comment yako.Katika moja ya matendo maovu na kuvunja kaki za binadamu yaliyokuwa yanafanywa na utawala wa huko nyuma ni Haya, Yaani mtu unateswa na kupewa kifungo hata kabla mahakama haijakuhukumu, HILI NI KOSA KUBWA SANA NA KWA MAUMIVU WALIYOYAPATA HAWA, MUNGU AWEZA TOA HUKUMU MBAYA KWA WALIOSABABISHA MATESO HAYA, FIKIRIA RUMANDE MIAKA 8, HII HAIPO MAHALI POPOTE DUNIANI HATA GUANTANAMO BAY YA MAREKANI HAIJAIFIKIA