KESI YA MAKOSA YA MTANDAO

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
Umekaa unatafakari Deni la Kodi ya nyumba, Umeme umeisha, Gesi ya kupikia imeisha, Njaa inapiga jaramba Tumboni, Simu haina vocha, Umejaribu kukopa kwenye Mtandao unajibiwa unadaiwa hujalipa Deni., Umetuma ujumbe kwa Marafiki hakuna aliyekujibu Ghafla inaingia,sms kwenye,simu yako. Kwa shauku unaifungua huku ukiomba Mungu iwe ya Rafiki yako katuma pesa ya kukutoa kwenye Mtihani huo. Mara unakutana na ujumbe huu.
"Mpendwa nakukumbusha Mchango wa Harusi ya kijana wetu Mpendwa, Tarehe zimekaribia."
Yaani hapo ndipo unapoweza kupata kesi ya Makosa ya Mtandao
‍♂‍♂‍♂

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Dah hiyo lazima ujute kwa nini unezaliwa bongo. Na kuanza kujiapiza mimi sichangishi nikioa.
 
Hahahahahaaa huo ndio ukubwa mbaya zaid kuna kadent kalijipendekeza ukapiga mzigo kanakutumia text my sijaziona siku zangu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom