Kesi ya madai

Kesi ya madai

bob_fundi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2025
Posts
447
Reaction score
690
Habari za wakati huu wanajamvi! .
Naomba msaada wa kisheria au kimawazo . Mm hapa nilikuwa nimepangisha chumba lakn kwa bahati mbaya tulivunja mkataba na mwenye nyumba kabla ya kumaliza kodi yangu.

Na hiyo ilitokana na yey kutofanya mambo ambayo tumekubaliana kama kufanya marekebisho ya chumba ambacho nilikuwa ndio nimesha hamia huku/na ishi hapo .

Kodi nilikuwa na lipa kwa miez 6 .na mwez 1 ulukuwa ni 150K kwa hiyo nililipa 900k lakn nilikaa miez 2 mpaka kufikia kuvunja mkataba.
Ambapo nilikuwa nimeshatumia takribani 300k ikawa imebaki 600k kwenye kodi ya miez 6

Aliomba rudishe laki tatu kwanza then atamalizia nyingine baada ya muda,niligoma kwa hiyo njia akasema,sema,twende serikali,za,mitaa tulienda tukaandikishiana hapo .

Lakn muda wa deni kulipa lile deni ulipo fika,aliendele kunizungusha mpk leo bado sija pata ela yangu .alinilipa,tu 300k na bado na dai 300k .
Niliwasiliana na mtendaji lakn pia lakn aikuzaa matunda yeyote ,nikaenda polisi lakn bado sikupata,msaada wowote

OMBI LANGU NAOMBENI KWA ANAYEJUA,AU MWENYE UZOEFU NA KESI ZA MADAI WAPI NATAKIWA KWENDA ILI NIPATW HAKI YANGU IMECHUKUA MWAKA MZIMA NAZUNGUSHWA TU KILASEHEMU NINAPO KWENDA .ASANTENI
 

Attachments

  • Screenshot_20260203_001900_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20260203_001900_WhatsApp.jpg
    116.6 KB · Views: 9
Ulifanya kosa hapo dawa ilikuwa apangishe mtu upewe chenchi yako,

lakini nenda kafungue kesi mahakamani ataitwa, waambie apangishe chumba ulipwe
 
Kesi za madai ni mahakamani. Polisi kwa mtendaji sijui wapi ni kupoteza muda na hela. Fungua kesi mahakamani.

Nachohofia ni kuwa mpaka kesi iishe unaweza kutumia zaidi ya laki 3. Kwa hiyo uwe unaandika gharama za kesi ili akulipe kesi itakapoisha


Kila la heri.
 
Nani alivunja mkataba Kati yake na wewe?
Baada ya wewe kutoka kwenye hicho chumba alikipangisha?
 
Back
Top Bottom