Kwa mtazamo wangu, kada ya sheria na hasa hawa wa serikalini, including majaji na hawa wanaofanyia ofisi za mwana sheria mkuu wa serikali, sio lazima wawe degree holders. Form 4 na 6 wanatosha kabisa, kidoogo waende Lushoto wakapate certificate ya sheria cause kazi zao nyingi ni za maelekezo tu, shule kubwa ya kazi gani? Ni udhalilishaji wa elimu. Mfano ndio kama kesi hi pamoja na zote za upinzani, huoni elimu mule, huoni kabisa. Ili tusidhalilishe elimu yetu, better form 4 and form 6 wa masomo ya art