BabaJonii
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 282
- 145
wataumbuka tu ccm
Eee Mungu Kikombe hiki kituepuke
"Freedom is coming tommorow!!"
wataumbuka tu ccm
subiri mkuu haraka ya nn? Tuache kuwewesekaWameshaumbuka Mkuu sasa wako busy katika juhudi zao muflisi za kuipanga upya movie yao ambayo watazamaji wameishaistukia. Mara kesi imefutwa mara imefunguliwa tena!!!, Usanii mtupu!!!! Vyombo vyote vya dola (polisi, jeshi na mahakama) vimekuwa ni vitengo vya magamba havina credibility hata chembe!!!
subiri mkuu haraka ya nn? Tuache kuweweseka
Kinachoonekana hapa ni dhahiri kuwa kuna msukumo wa kisiasa kulazimisha Lwakatare ashitakiwe kwa makosa ya ugaidi wakati ushahidi uliopo ni mdogo sana kushadia makosa ya ugaidi.
Inaonekana DPP hajaridhika na ushahidi uliopo na polisi wanafanya kila wawezalo kutafuta na kutengeneza ushahidi wa kumshawishi DPP.
Lakini kwa hali inavyoendelea tutarajie lolote kutoka kwa DPP, jeshi la polisi au mahakama kuu manake hapa kuna nguvu kubwa sana ya kisiasa inayoizunguka kesi hii kuliko uhalisia na sheria yenyewe.