Kesi ya Lisu; naiona mianya ya kutumika na watawala

Kesi ya Lisu; naiona mianya ya kutumika na watawala

po sumbe

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
207
Reaction score
156
Napata mashaka sana juu ya hii movie ,kwa muonekano na muda alioshikiliwa Lissu afya yake haisadifu mazingira anayosema yupo kwa wakati huu.
Nikirudi nyuma maneno yaliyopelekea kukamatwa ni wazi hutegemei mtu wa level za ujuzi wa sheria kama Lissu ayatamke kwenye hadhara.
Katika moja ya kesi zake aliwahi kusema akiachiliwa huru anakwenda barabarani,maneno haya ni kama bado amechochea mamlaka kuendelea kumshikilia.
Mwisho kampeni ya no reforms no election ni sahihi kwa malalamiko wanayoimba wapinzani kila mwaka wa uchaguzi,lakini timing haikua sahihi kufanya mabadiliko ama lah uchaguzi ulipaswa usogezwe mbele ili kupisha maboresho ya uendeshaji wa uchaguzi,mwisho nikikumbuka mama alimtembelea mwamba nairobi aliposhambuliwa kwa risasi na ubelgiji hakika naamini sinema zote zinazoendelea ACT &CHAUMMA &CHADEMA &KATAA WAHUNI director ni mmoja
 
No reforms no election. Watanganyika wengi tuko nyuma ya Lissu mpaka kieleweke. Na huu ndiyo ukweli mchungu unaotakiwa kuwafikia watawala na genge lao la wahuni.
 
Back
Top Bottom