Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,264
Kwenye harakati za ukumbozi sio lazima mtu awe mbunge ndio afanikishe.Hata bila kuwa mbunge Lema ataendelea kukijenga chama.
Mods,
Jukwaa limevamiwa sasa. Watu wamehamisha maneno yasiyo na staha huku. Naona JF ya ma GTs inageuzwa kama kijiwe cha Facebook kwani hata terminologies zinazotumika kule, ndiyo hizi hizi wanazozileta hapa.
So sad.
Mtoa mada sioni kitu cha kujitosheleza katika mada yako. Hukumu ya Lema ni tarehe 08.11 danadana zinatoka wapi???
Tunasubiri hukumu kisha tuone yatayojiri kutokana na hukumu hiyo.
Ni kweli kuwa chanzo cha hii taarifa si rasmi sana ila ni mdau muhimu tu kwenye siasa zetu. Chama tawala kina kila nia ya kuona upinzani ukienda harijojo. let us wait and seeSina uhakika na chanzo cha mleta mada lakini nanusa dhulma inayoendelea kwa kamanda lema, huenda kweli kesi ikapigwa danadana mpaka 2015 na wana Arusha wakasota miaka yote mitatu bila mbunge.
Kwa habari nilizozipata ni kuwa kuna mpango wa kuiyumbisha rufaa ya Lema kiasi cha kutokuwepo majibu ya busara hivyo kusababisha Lema kushindwa kesi.
Hii itampelekea Lema kuchukua uamuzi wa kufungua kesi upya wakati mnamo mwakani serikali ina mpango wa kuzifuta kesi zote za uchaguzi zilizokuwa na wingi wa viporo na abrakadabra za hapa na pale.
Lengo ni kuhakikisha kuwa Lema harudi tena Bungeni kipindi hiki kuelekea 2015, hivyo wana Arusha mjiandae kutokuwa na Mbunge hadi hapo.
Hizi hi habari mbaya kwa sisi wana cdm ila naamini wanaarusha hawatakuwa na upungufu wa kumbukumbu kuona kuwa tunakabiliwa na changamoto nyingi mbeleni.
Mungu ibariki Tanzania mpya inayonukia
Kwa habari nilizozipata ni kuwa kuna mpango wa kuiyumbisha rufaa ya Lema kiasi cha kutokuwepo majibu ya busara hivyo kusababisha Lema kushindwa kesi.
Hii itampelekea Lema kuchukua uamuzi wa kufungua kesi upya wakati mnamo mwakani serikali ina mpango wa kuzifuta kesi zote za uchaguzi zilizokuwa na wingi wa viporo na abrakadabra za hapa na pale
Lengo ni kuhakikisha kuwa Lema harudi tena Bungeni kipindi hiki kuelekea 2015, hivyo wana Arusha mjiandae kutokuwa na Mbunge hadi hapo.
Hizi hi habari mbaya kwa sisi wana cdm ila naamini wanaarusha hawatakuwa na upungufu wa kumbukumbu kuona kuwa tunakabiliwa na changamoto nyingi mbeleni.
Mungu ibariki Tanzania mpya inayonukia
Wewe ingekuwa si naogopa ban ningekutukana gamba Wewe unayepokonya haki zetu kwa nguvu
kwa ukweli kabisa imedhihirika kuwa wana arusha hawana haja ya kuwa na mbunge kwani tangia lema amesimamishwa maendeleo waliyo yapata ni makubwa kuzidi wakati lema yuko mbunge, kwa hiyo hata wakikaa bila mbunge maendeleo yao yanakwenda kwa kasi ya kimbunga ccm oyeeeeee