Kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi jimbo la kilombero. Perer Lijualikali amshinda Abubakar Asenga

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
7,979
13,631
Mahakama kuu kanda ya mashariki imetupilia mbali mashtaka yaliyoletwa na Abubakar Assenga (ccm) ndhidi ya Peter Lijualikali. Asenga alikuwa akipinga ushindi wa mbunge wa kilombero peter Lijualikali baada ya kutangazwa mshindi kwrnye uchaguzi mkuu mwezi November mwaka jana.
 
Back
Top Bottom